Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kwamba Mimi Mzazi nina Jukumu la kuwapa furaha watoto wangu lakini sio watoto kunipa faraja Baba yao katika Uzee wangu 🙆Usitegemee watoto wakupe furaha, wewe ndio unatakiwa kuwapa furaha watoto
Ndiyo maana baadhi ya Wazee huamua kujipa furaha Kwa kusafiri na ku-have funny kupitia pension zao