Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

Bro nakusalimia kaka mkubwa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Sishangai Mtibel kutoeleweka!

Alichoandika taikuni wa fasihi ni akili kubwa na kinaeleweka kwa wenye akili kubwa pia.

Ukipata shida kuelewa huu uzi, unapaswa kutathimini akili yako na siyo kushambulia mwandishi. Kila kitu kipo wazi.
 
Sio lazima niwe nacho kikubwa!
Hata kidogo changu nitagawana nao tena mama angu ndo huniambii kitu bora nilale njaa yeye ale.

Sasa hiyo ndio sio HAKI na wala huwezi ita upendo. Isipokuwa ni laana tuu.

Mzazi ambaye yupo umri wa kufanya kazi sio wajibu wako kumtunza wala kumhudumia. Isipokuwa hiyari na mapenzi ambayo sio lazima.
Mtu anabarikiwa kwa Wajibu sio kwa hiyari au mapenzi.
Baraka ni wajibu na haki kama ilivyo Laana.
 
Sasa mimi hayo mapenzi kwa wazazi wangu ninayo.

Sio tatizo.
Ishu inakuja pale wapo wazazi ambao wanawaweka watoto wao kwenye majukumu yasiyo yao na kuwapa mzigo wa kuwatunza na kuwahudumia kama wajibu wao. Yaani uwe na uwezo usiwe nao fanya iwezavyo utume pesa nyumbani. Hiyo ndio dhulma wakati wazazi hawaumwi na hawapo kwenye umri wa uzee.

Kwa kukuongezea tuu. Zilezile sababu za mzazi kutokukutunza na kutokukuhudumia ukishakuwa mkubwa ndio hizohizo zinazotumika kwao kama wao sio Wazee au wagonjwa.
 
Imeandikwa tuwatunze tuwajali tuwapende Wazazi

kitendo Cha kujitoa kwao ni Baraka namm sitak kuzikosa hz Baraka

Mzee aliyezeeka.
Hata maandiko yanasema wazazi wanaowajibika wa kuwatunza watoto wao na kuwahudumia mtoto huyohuyo akifikisha umri wa kujitegemea yaani kati ya miaka 20- 60 hatakiwi kufanyiwa hayo
 
Umechemka mtibeli sio kilakitu cha kuandika.
 
Tatizo ulilonalo uko mbele ya wakati, Sisi RAIA wa ccm huo siyo utaratibu wetu na huwezi kueleweka hata kama uko Sahihi.

Kuna magroup yetu ya kijamii ya WhatsApp wamejaa Rayman humo Mimi huwa sichangii mada yoyote nipo kimya tu Kwa sababu najuwa aitotokea wanielewe.
 

Alafu ukiwaambia tujadili kwa hoja wanakimbia.

Mimi nimeeleza na nimeweka mjadala. Nategemea wapingaji waje na hoja wanaishia kuleta mbambamba
 
Mzazi ni mungu wa duniani.

Kushukuru ni kufungua milango ya baraka.

Mawazo haya ya kujitenga na wazazi wako Mwanaume, lazima utakuwa Umepewa na mkeo ambaye pesa zote anapeleka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…