....Hunenepa sana baada ya kujifungua!


kwa maoni yako Jawilat .. nini hasa kinachoplelekea kunenepa baada ya kujifungua?
 
Last edited by a moderator:
mmmh Mungu nisaidie sijui naogopa nini

nini tatizo miss chagga..?

mi nadhani kunenepa ama kuongezeka kwa mwili hutegemeana na mwanamke mmoja kwenda mwingine.. si wote hupitia hapa..!

ama wewe waogopa uchungu wa kuleta mwana duniani?
 
Last edited by a moderator:

mkuu pole kwa hilo.. maisha ya shamba si mchezo!! wanawake wana purukushani nzito sana rafiki yangu! kuamka ni almost saa kumi usiku, kazi nzito sana wanafanya huku waume zao wakiwa wametulia tuli! kwa kawaida huchukuliwa kama labourers!.. ndio maana wale miili yao haiongezeki hata kidogo, mishe mishe ni nyingi, kutembea kwenyewe unaweza kukuta anatembea zaidi ya km 100 daily.

shamba kuna kazi kweli!
 

Kwa ruhusa yako niende nje kidogo ya topic...

Niliwahi kufikiri kwa kufanya utafiti usio rasmi sana kwamba hata performance ya elimu kwa watoto wa kienyeji vs hawa wa mjini ilikuwa tofauti sana na hata sasa ipo hivyo thou si kwa mlinganyo sahihi!

Binafsi naccount Div 2 ya mtoto wa kijijini kama one ya kukaribia single digit kwa kuwa shule zenyewe ni mo than 7 KM go and return,jua,mvua vyote vyake,shughuli za nyumbani zake,na wakati hawa wa mjini wakiwa tuition mwisho wa week/wakati wa likizo wa kijijini yuko out na ng'ombe/mbuzi!

Once wa kijiji akija kupata bahati ya kujoin University lazima amwache wa mjini maili 70 so far wakati wa mjini akiwa bizy na tablets na kubadilisha stutus kwenye tweeter/FB/Wasap wa kijiji ni madesa mwanzo mwisho,so kama ilivyo kwa wake wa mjini/wakijijini na aspects nyingine za maisha ziko hivyo!
 
We Sema tu Ndo uliyefutuka, Manake mara unawaona mara miili asili mara dawa ya kusaidia, jinsi maelwzo yako yalivyopindapinda ynnifanya niamini we Ndo unaitaka mbinu hy
 

mkuu umenena kabisa
mwingine anaweka wasaidizi wiwili anaita ka mama wa kihindi
hana analofanya zaidi ya kula wakati mwingine hata kunyonyesha anabebewa na dada
kila baada ya 10dk analetewa chakula ukute kule kwa kina mangi balaa mama mkwe hataki aibu anakushindilia mtori
kijijini uji anajitengenezea mwenyewe
 
 
Kama nilivyokwisha kuandika,hapo kikubwa ni aina ya vyakula vinavyoliwa namuda wa kupumzika(kukaa bila kushughulika)
kwa maoni yako Jawilat .. nini hasa kinachoplelekea kunenepa baada ya kujifungua?
 
Last edited by a moderator:


Mkuu mimi ni mtoto wa kienyeji,najua shida,na machungu ya life ya kijiji kabla sijapata kaexposeure uchwara ambacho hata hivyo nimeampa kutumia exposure hiyo kunufaisha familia yangu niliyoiweka rehani kipindi mama akijikamua kila 'peni' ili nifute umbumbumbu kidogo!

Sio kitu hata kama nisipomwita mama yangu ni mpendwa so far haiondoi wala kuongeza dhana kwamba ndiye aliyenizaa ila kwa namna ya kipekee nimshukuru Mwanamke huyu wa kipekee kwangu kwani leo kuna wanaoniita 'fulani' pasi kujua nisingefikia hapa bila huyu mama!

Daima nitamwombea kwa Mungu,na kwa kutambua siwezi kulipa mema aliyonifanyia nitawapenda sana wanawake kwa kuwaheshimu na kusimama upande wao kulinda heshima yao pale wanaume(wasiozaliwa na mwanamke) watakapoinuka juu ya mama/dada/shangazi/nyanya zangu hawa...Nawapenda sana!
 
We Sema tu Ndo uliyefutuka, Manake mara unawaona mara miili asili mara dawa ya kusaidia, jinsi maelwzo yako yalivyopindapinda ynnifanya niamini we Ndo unaitaka mbinu hy

mkuu nimeshindwa kukuelewa!

ni bora tu ungetoa ushauri kulingana na mada.. kuliko kuanza kutafuta muhusika! mimi ni Excel.. iam a man!!

tatizo nililolizungumzia lipo miongoni mwa wanawake katika jamii yetu, wala si sinema ya kutunga!!

btw, ahsante kwa gesture!
 
Last edited by a moderator:
nini tatizo miss chagga..?

mi nadhani kunenepa ama kuongezeka kwa mwili hutegemeana na mwanamke mmoja kwenda mwingine.. si wote hupitia hapa..!

ama wewe waogopa uchungu wa kuleta mwana duniani?

naogopa kuleta mwana duniani alafu nikanenepa sana na nilivyokibonge
 
ahsante mkuu kwa maelezo ya kina!

kwanini lakini wanawake wa mjini ndio huathirika zaidi na hili?
sio wa mjini bali wakiafrika zaidi.....huoni wazungu wanaweza maintain miili yao hata wakizaa watoto
 
Hahahaaa jamani pole..ila ni kati ya kipindi chenye furaha kwenye maisha ya mwanamke,..pale unapomsikia mtoto anacheza tumboni,then inakuja ile hatua ya mwisho kabisa labor pain ni kawaida tuu..kuhusu kunenepa ni swala tu la kujidhibiti.
kubeba mimba
 
Hahahaaa jamani pole..ila ni kati ya kipindi chenye furaha kwenye maisha ya mwanamke,..pale unapomsikia mtoto anacheza tumboni,then inakuja ile hatua ya mwisho kabisa labor pain ni kawaida tuu..kuhusu kunenepa ni swala tu la kujidhibiti.

mmh kumbe nitapenda kuona hiyo furaha
 

Chakula kinaongezeka Wakati Wa ujauzito Ili kumakomodeti Na Mtoto, Kuna wanaoendelea Kula namna Hy Kwa kuwa wamezoea Na kuendelea kunenepa, wengine wanapunguza sana Kula Ili wapungue. hayo ni maelezo yaliyopatikana Toka Kwa baadhi ya nnaowafaham.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…