Noted with thanks mkuu!
Kaka nina dada yangu whom ni mkubwa kwangu kwa miaka almost mitatu whom kutokana na kutokuchaguliwa kwenda shule za serikali enzi hizo na familia yetu ikijishosheleza tu kwa mlo na kushindwa kumpeleka private aliishia tu kuwa house girl wa wenye maisha bora town alipong'aria shavu,thereinafter aliporudi kijijini akachukuliwa faster na then shemeji yangu!
Frankly iliniuma kidogo wakati huo lakini muda unaponya majeraha,leo hii dada yangu ana watoto wanne,ukiambiwa hata amezaa huwezi jua so far kwenye family aliyoolewa ni yeye pekee ana jukumu la kutunza wakwe zake,kutunza mji,kulea watoto,kutunza mifugo,kutunza shamba and likely!
Wenzake waliochaguliwa kwenda shule wakati wake waliishia form four/six na kuunga hapa na pale kwa hutu tukozi nyemelezi,wamepata mabwana wanaojua kuhudumia,wamezaa sana sana mtoto mmoja kisha kunenepeana utadhani mbuzi wa hitma,kutembea kwenyewe taabu,wakipanda vitz inaenda mwendo wa bata,kuhema juu juu utadhani uhai unataka kuwachomoka!
Yatosha kusema kwamba hawa wa kijijini kuna vitu wanakosa,exposure,umbea wa saluni na haya mazaga zaga ya Mc Donalds ila wana span ndefu kuliko hawa broilers! (samahani kwa vibonge) Huo ndio ukweli!