....Hunenepa sana baada ya kujifungua!

....Hunenepa sana baada ya kujifungua!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Habari zenu wakuu! Happy new year to you all!

Suala lililonileta kwenu hapa ni kutaka kufahamu juu ya hili!

Nimeshuhudia baadhi ya wanawake wakiwa wembamba na wakiwa na miili yao mizuri tu ambayo si minene!

Sasa cha ajabu ni pale wanapokuwa wameshajifungua..! Wengi wao hufutuka na kunenepeana sana! Yani yale maumbo yao ya asili yanapotea kabisa na hata mivuto nayo inatoweka pia!
Hii pia hupelekea matiti kuwa makubwa kupitiliza..

Sasa wadau, najiuliza sana, tatizo hapa ni nini? Kwanini mwili uongezeke tuuu baada ya kujifungua?

Je, kuna mbinu gani mbadala ambazo zinatakiwa kuzingatiwa ili kurudisha mwili katika hali ya kawaida na uendelee kuwa romantic?

Msaada wenu wadau!

Wenu.... Excel!
 
Last edited by a moderator:
Biologically mwanamke kujifungua anasababisha mabadiliko makubwa mwilini ambapo homoni aina aina huzaliwa ili kukabiliana na mabadiliko hayo...hii ni kanuni ya asili!

Njia za kukabiliana na ongezeko hilo ni pamoja na kuwa na displine ya vyakula baada ya kujifungua,mazoezi ya mwili,kubana tumbo kwa mkanda maalum...
 
Hicho kitu hakiepukiki, ni kama uzee hata ukiukwepa vipi utakukuta tu. Kwa ujumla Mwamamke anapojifungua antakiwa ale ashibe vizuri ili mtoto apate maziwa ya kutosha, hasa kama huna mpango wa kumpa mtoto maziwa ya kopo kwa umri mdogo.
 
Last edited by a moderator:
Ukisema uzuie asinenepe inamaanisha unamtakia maisha magumu mtoto aliyezaliwa! Urembo na uzuri upo ndani kwa nje mnajiongopea tu(Salute Fid Q)
 
Mkuu unaweza kukubaliana na mimi kwamba wanenepao ni wanawake wa mjini tuu?

hii nimeishuhudia maeneo mengi.. kwanini wanawake wa vijijini hawanenepi baada ya kujifungua?
 
hii kauli ina utata mkuu!

naomba tadhali unielezee zaidi kidogo!
 
Biologically mwanamke kujifungua anasababisha mabadiliko makubwa mwilini ambapo homoni aina aina huzaliwa ili kukabiliana na mabadiliko hayo...hii ni kanuni ya asili!

Njia za kukabiliana na ongezeko hilo ni pamoja na kuwa na displine ya vyakula baada ya kujifungua,mazoezi ya mwili,kubana tumbo kwa mkanda maalum...

ahsante mkuu kwa maelezo ya kina!

kwanini lakini wanawake wa mjini ndio huathirika zaidi na hili?
 
Mkuu unaweza kukubaliana na mimi kwamba wanenepao ni wanawake wa mjini tuu?

hii nimeishuhudia maeneo mengi.. kwanini wanawake wa vijijini hawanenepi baada ya kujifungua?

kutokana na aina ya vyakula na muda wa mapumziko wanaoupata hawa kinamama..akina mama wengi wa vijijin huingia kwenye majukumu muda mfupi baada ya kujifungua ila mjini unawapata wana wasaidizi..mf. Housegirl n.k
 
kwa hiyo Jawilat.. unaweza kuconclude vipi kuhusu hili?
 
Last edited by a moderator:
hii kauli ina utata mkuu!

naomba tadhali unielezee zaidi kidogo!

Mzazi inatakiwa ale vya kutosha ili kupata maziwa kwa ajili ya mtoto,vyakula vizuri kwa mzazi ni mchemsho/mtori na makongoro hayo yanaleta maziwa sana kwahyo mtoto kwake ni burudani,vyakula hyvo in turn vinamnenepesha mzazi!!
 
Acha nijinepee kwa raha zangu,vichwa vitatu si mchezo,hapa navaa size 16,wakati nipi binti ilikuwa size 8,ila inategemea na Genes,mbona wengine wana watoto lukuki ila ni vimbao mbao tu?
 
safi sana mkuu! nimekuelewa!

ila nimekuja kutatizika pale nilipofanya comparison kati ya wanawake wa vijijini na wa mjini pale wanapokuwa wamejifungua!

nikagundua kuwa, wamama wengi wa vijijini huwa hawanenepeani kama hawa huku wa mjini!!

so sababu inaweza kuwa hii....
 
ahsante mkuu kwa maelezo ya kina!

kwanini lakini wanawake wa mjini ndio huathirika zaidi na hili?

Mkuu kijijini hakuna tofauti na kambi za kijeshi, mwanamke kajifungua leo,kumpet pet ni siku ile tu atakapotoka zahanati ya kijiji alikoenda kujifungulia, na msaada pekee atakaopata ni kusaidiwa kichanga hadi nyumbani...ni mwendo wa ngondi!

Chakula ni uji wa ulezi na ndizi za kuchoma zilizonakshiwa kwa mafuta yaliyopatikana kutokana na maziwa ya ng'ombe! Huku shughuli kibao zikimwandama ataachaje kuwa unaoita 'romantic'!

Mjini ukute mke mwenyewe ni hawa walotoka kwenye familia bora,kisha kapata kaexposure ka kwenye kideo kupia hizi chereko,hajui hata kushika ufagio,maid wa kumfulia hadi gagulo,na happen kampata mume ATM aliyekuwa anasaka mtoto kwa udi na uvumba ataachage kuwa boflo wakati hata kuwasha luninga ni kazi ya 'dada wa kunyumba?'
 
Acha nijinepee kwa raha zangu,vichwa vitatu si mchezo,hapa navaa size 16,wakati nipi binti ilikuwa size 8,ila inategemea na Genes,mbona wengine wana watoto lukuki ila ni vimbao mbao tu?

hongera kwa kuifurahia hali yako.. wenzio wengi wanalia na kulalamika juu ya hii hali..

but naomba nikuulize kitu.. hivi saiz ya papuchi hurudi katika hali yake ya kawaida baada ya muda gani baada ya kujifungua?!
 
Mkuu kijijini hakuna tofauti na kambi za kijeshi, mwanamke kajifungua leo,kumpet pet ni siku ile tu atakapotoka zahanati ya kijiji alikoenda kujifungulia, na msaada pekee atakaopata ni kusaidiwa kichanga hadi nyumbani...ni mwendo wa ngondi!

Chakula ni uji wa ulezi na ndizi za kuchoma zilizonakshiwa kwa mafuta yaliyopatikana kutokana na maziwa ya ng'ombe! Huku shughuli kibao zikimwandama ataachaje kuwa unaoita 'romantic'!

Mjini ukute mke mwenyewe ni hawa walotoka kwenye familia bora,kisha kapata kaexposure ka kwenye kideo kupia hizi chereko,hajui hata kushika ufagio,maid wa kumfulia hadi gagulo,na happen kampata mume ATM aliyekuwa anasaka mtoto kwa udi na uvumba ataachage kuwa boflo wakati hata kuwasha luninga ni kazi ya 'dada wa kunyumba?'

mkuu umenena vyema haswaa!!

wanwake wa vijijini wana kazi kubwa sana.. kwa sababu wao hata mimba za miezi saba, bado wanaenda shamba na kufanya nyingine nzito za kifamilia..

sasa naomba unisaidie hili.. kwa jinsi hali ilivyo, ama kwa maoni yako.. je, hali ipi wewe unaiona ni njema kati ya hizi pande mbili, yaani tule wa kijijini na wa mjini!?

yani kiafya, je ni sahihi kumuacha mwanamke ajinenepee na kuwa kama mnyamapori? ama itafutwe njia mbadala ya kupunguza mafuta mwilini mwake pasi na kumdhuru mtoto??

ahsante.
 
Ngoja nianze uchunguzi.

chunguza kwa kufanya 'participant research' ndio utapata data nyingi zaidi.

mi kuna mmama mmoja hivi ni mnene kweli, lakini kanambia kabla hajajifungua, alikuwa na umbo la kimiss sana!

sasa kazi imekuja baada ya kupata mtoto!! sasa hivi analingana na mama lwakatare kwa unene!!
 
Haaa wewe unasema miezi saba,watu wanapatia uchungu shambani!...hivi ujue hata wakati huyu mama anavyokua ananenepa anaweza akaona ni kawaida ila anapokua ametoka ndo anapoona tofauti ya kabla ya kujifungua na baada..na kupunguza unenen inakua ni kazi nyingine!
mkuu umenena vyema haswaa!!

wanwake wa vijijini wana kazi kubwa sana.. kwa sababu wao hata mimba za miezi saba, bado wanaenda shamba na kufanya nyingine nzito za kifamilia..

sasa naomba unisaidie hili.. kwa jinsi hali ilivyo, ama kwa maoni yako.. je, hali ipi wewe unaiona ni njema kati ya hizi pande mbili, yaani tule wa kijijini na wa mjini!?

yani kiafya, je ni sahihi kumuacha mwanamke ajinenepee na kuwa kama mnyamapori? ama itafutwe njia mbadala ya kupunguza mafuta mwilini mwake pasi na kumdhuru mtoto??

ahsante.
 
mkuu umenena vyema haswaa!!

wanwake wa vijijini wana kazi kubwa sana.. kwa sababu wao hata mimba za miezi saba, bado wanaenda shamba na kufanya nyingine nzito za kifamilia..

sasa naomba unisaidie hili.. kwa jinsi hali ilivyo, ama kwa maoni yako.. je, hali ipi wewe unaiona ni njema kati ya hizi pande mbili, yaani tule wa kijijini na wa mjini!?

yani kiafya, je ni sahihi kumuacha mwanamke ajinenepee na kuwa kama mnyamapori? ama itafutwe njia mbadala ya kupunguza mafuta mwilini mwake pasi na kumdhuru mtoto??

ahsante.

Noted with thanks mkuu!

Kaka nina dada yangu whom ni mkubwa kwangu kwa miaka almost mitatu whom kutokana na kutokuchaguliwa kwenda shule za serikali enzi hizo na familia yetu ikijishosheleza tu kwa mlo na kushindwa kumpeleka private aliishia tu kuwa house girl wa wenye maisha bora town alipong'aria shavu,thereinafter aliporudi kijijini akachukuliwa faster na then shemeji yangu!

Frankly iliniuma kidogo wakati huo lakini muda unaponya majeraha,leo hii dada yangu ana watoto wanne,ukiambiwa hata amezaa huwezi jua so far kwenye family aliyoolewa ni yeye pekee ana jukumu la kutunza wakwe zake,kutunza mji,kulea watoto,kutunza mifugo,kutunza shamba and likely!

Wenzake waliochaguliwa kwenda shule wakati wake waliishia form four/six na kuunga hapa na pale kwa hutu tukozi nyemelezi,wamepata mabwana wanaojua kuhudumia,wamezaa sana sana mtoto mmoja kisha kunenepeana utadhani mbuzi wa hitma,kutembea kwenyewe taabu,wakipanda vitz inaenda mwendo wa bata,kuhema juu juu utadhani uhai unataka kuwachomoka!

Yatosha kusema kwamba hawa wa kijijini kuna vitu wanakosa,exposure,umbea wa saluni na haya mazaga zaga ya Mc Donalds ila wana span ndefu kuliko hawa broilers! (samahani kwa vibonge) Huo ndio ukweli!
 
Back
Top Bottom