Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Hongera sana kwa Hungary kwa hatua hii baada ya kuona utapeli wa ICC.
Yani wameshindwa kuwakamata viongozi wa hamas na hezbollah wanaoanzisha vurugu kila siku eti wanakuja kumkimbizia Netanyahu aliejibu mashambulizi ya uchokozi.
Kama wana hasira sana wakamate bush na blair walioanzisha vita feki pale Iraq.