Vijana walioenda huku walifanyiwa ukatili na hamas.Nchi yetu imualike Mheshimiwa Netanyahu aje na ujumbe wake kuangalia fursa za uwekezaji nchini pamoja na kuwa na mashirikiano katika nyanja zote za maisha ikiwemo ushirikiano wa kiulinzi na usalama, kilimo, sayansi na teknolojia. Hatuna chuki na Israel na tunahitaji ujuzi na maarifa yao kwa ustawi wa taifa letu
ICC ni scam.View attachment 3292012
Hongera sana kwa Hungary kwa hatua hii baada ya kuona utapeli wa ICC.
Yani wameshindwa kuwakamata viongozi wa hamas na hezbollah wanaoanzisha vurugu kila siku eti wanakuja kumkimbizia Netanyahu aliejibu mashambulizi ya uchokozi.
Kama wana hasira sana wakamate bush na blair walioanzisha vita feki pale Iraq.
Alafu cha ajabu, aliyeanza kumshambulia mwenzake ni HAMAS!!View attachment 3292012