Hungary imesema haitamkamata Putin iwapo ataingia nchini humo

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Hungary inasema haitamkamata rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo angeingia nchini humo, licha ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati ya kukamatwa kwake wiki iliyopita, ikimtuhumu kuwachukua kinyume cha sheria mamia ya watoto kutoka Ukraine.

Mkuu wa wafanyakazi wa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, Gergely Gulyas, alisema siku ya Alhamisi kwamba ingawa Hungary imetia saini Mkataba wa Roma, mkataba uliounda ICC, na kuuidhinisha mwaka 2001, lakini kumkamata Putin hakutakuwa na msingi katika sheria za Hungary.

“We can refer to the Hungarian law and based on that we cannot arrest the Russian President … as the ICC’s statute has not been promulgated in Hungary,” Gulyas said. He added that the Hungarian government had not yet “formed a stance” on the ICC arrest warrant for Putin.

The comments might not come as a huge shock to Hungary’s European neighbors.

Orban and his government have always been by far the closest ally of the Kremlin within the European bloc. After Putin ordered Russian troops to invade Ukraine last year, Orban was the most reluctant European Union leader to impose sanctions on Russia.

Hungary is also a NATO member and has voiced objections to Western nations sending arms to Ukraine. Orban has warned that Europe is “drifting into” the war in Ukraine and has made extensive efforts to block Ukraine from joining NATO. It is also dragging its feet on Sweden’s efforts to join NATO.

The 123 member states of the ICC are obliged to act on an arrest warrant, meaning that if Putin enters any of these territories he should be placed under arrest by national law enforcement. However, Gulyas claimed on Thursday that the Rome Statue has not been built into the Hungarian legal system, so would not apply.
In what will be interpreted as a sympathetic stance to the Kremlin, Gulyas said of the arrest warrant: “These decisions are not the most fortunate as they take things towards further escalation and not towards peace, this is my personal subjective opinion.”

Russia has dismissed the ICC’s warrant as “unacceptable,” saying that it is not subject to the ICC’s decisions.

“Russia, like a number of states, does not recognize the jurisdiction of this court and, accordingly, any decisions of this kind are null and void for the Russian Federation from the point of view of law,” Kremlin spokeperson Dmitry Peskov tweeted shortly after the warrant was issued.

The ICC’s Chief Prosecutor Karim Khan told CNN last week that “Article 27 of the Rome Statute makes it very clear that the official position of an individual is irrelevant to the jurisdiction of the court. The independent judges of the court have also found it appropriate [to issue the warrant}.
 
Endelea Kuota ukitembea
Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya Waafrika wanahusudu sana mataifa ya magharibi - uwambii kitu wakakuelewa, hata agenda zao za siri zenye lengo laku-depopulate bara la Afrika kwa kutumia chanjo ya polio, covid, cervicle cancer na GMO - waswahili wengi hata baadhi ya wasomi hawana habari nazo, save marehemu Magufuli (RIP).
 
Hizo chanjo za watoto ndizo zimefanya leo hii uwepo na kupata hata fursa ya kuandika hicho unachoandika humu.

Kabla ya ujio wa hizo chanjo za watoto katika watoto watano takriban wawili hadi watatu waliokuwa wanafariki dunia kabla ya kufikisha umri wa miaka mitano na babu na bibi zako walikuwa ni wahanga wa hili huko nyuma.

Nchini Nigeria kaskazini mwa nchi hiyo ambako wananchi wengi ni wa imani ya kiislam miongo kadhaa nyuma walikuwa wakipinga sana hizi chanjo za watoto lakini baadaye walizikubali tena wenyewe baada ya watoto wengi ambao hawakuchanjwa kuwa viwete ndio maana leo hii eneo hilo lina viwete wengi sana katika Nigeria na leo hii hakuna tena anayepinga hizo chanjo.

Kuna imani zingine ni za kipumbavu sana kiasi kwamba zikiendekezwa zinaweza kuangamiza kabisa watu.
 
Sa pia uganda pia tanzania pia na africs nzima kwa ujumla
 
Hungary inasema haitamkamata rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo angeingia nchini humo, licha ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati ya kukamatwa kwake wiki iliyopita, ikimtuhumu kuwachukua kinyume cha sheria mamia ya watoto kutoka Ukraine.

Mkuu wa wafanyakazi wa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, Gergely Gulyas, alisema siku ya Alhamisi kwamba ingawa Hungary imetia saini Mkataba wa Roma, mkataba uliounda ICC, na kuuidhinisha mwaka 2001, lakini kumkamata Putin hakutakuwa na msingi katika sheria za Hungary.

“We can refer to the Hungarian law and based on that we cannot arrest the Russian President … as the ICC’s statute has not been promulgated in Hungary,” Gulyas said. He added that the Hungarian government had not yet “formed a stance” on the ICC arrest warrant for Putin.

The comments might not come as a huge shock to Hungary’s European neighbors.

Orban and his government have always been by far the closest ally of the Kremlin within the European bloc. After Putin ordered Russian troops to invade Ukraine last year, Orban was the most reluctant European Union leader to impose sanctions on Russia.

Hungary is also a NATO member and has voiced objections to Western nations sending arms to Ukraine. Orban has warned that Europe is “drifting into” the war in Ukraine and has made extensive efforts to block Ukraine from joining NATO. It is also dragging its feet on Sweden’s efforts to join NATO.

The 123 member states of the ICC are obliged to act on an arrest warrant, meaning that if Putin enters any of these territories he should be placed under arrest by national law enforcement. However, Gulyas claimed on Thursday that the Rome Statue has not been built into the Hungarian legal system, so would not apply.
In what will be interpreted as a sympathetic stance to the Kremlin, Gulyas said of the arrest warrant: “These decisions are not the most fortunate as they take things towards further escalation and not towards peace, this is my personal subjective opinion.”

Russia has dismissed the ICC’s warrant as “unacceptable,” saying that it is not subject to the ICC’s decisions.

“Russia, like a number of states, does not recognize the jurisdiction of this court and, accordingly, any decisions of this kind are null and void for the Russian Federation from the point of view of law,” Kremlin spokeperson Dmitry Peskov tweeted shortly after the warrant was issued.

The ICC’s Chief Prosecutor Karim Khan told CNN last week that “Article 27 of the Rome Statute makes it very clear that the official position of an individual is irrelevant to the jurisdiction of the court. The independent judges of the court have also found it appropriate [to issue the warrant}.
Kwa msingi huu sasa Putin ni mtu asiye na furaha, hayuko huru inabidi sasa achague nchi ya kwenda maana anaweza kushikwa, sasa superpower anapangiwa nchi za kwenda nadhan tena sijuw south Africa na Hangary labda na China nadhan hili ni pigo sana kwa putin kuivamia Ukrean., na hata akistaafu siasa hatakuwa uhuru kutembelea popote atafia Kremlin kwa kuiogopa ICC
 
Back
Top Bottom