Hungary imesema haitamkamata Putin iwapo ataingia nchini humo

Huo ni Mtego kwa Sisi Majasusi tumeshauelewa yani hapo kuna kamchezo Marekani anakacheza cha kumuaminisha Mrusi kuwa Hungary yupo upande wa Putin ingali hpo hpo Huyo Hungary ni Mwanachama Wa NATO.

Sasa hpo wanaweka mazingira ili urusi ione hungary ni safe place ila siku Putin Akitia tu mguu hpo Hungary Ndo kwisha yake kuna mawili yanaweza kumpata kam sio kuuwawa basi atakamatwa ila Mark my words huo ni Mtego wa mmarekani kwa Putin.,

Na naamin Putin Aidha ameshaushtukia au ataushtukia mbelen ila kwa navyoona Unawez kuta Hungary nd ikawa hatar zaid kwa Putin kukanyaga kulko hata Marekani penyewe.
 
hungury usimfananishe na wengine, hakuna mtengo wala nini pamoja na kuwa nato lakini hungary hata putin aende sasa hawawezi mfanya lolote hata aende pale pale UK
 
Back
Top Bottom