Hungary imesema haitamkamata Putin iwapo ataingia nchini humo

Hungary imesema haitamkamata Putin iwapo ataingia nchini humo

Hizo chanjo za watoto ndizo zimefanya leo hii uwepo na kupata hata fursa ya kuandika hicho unachoandika humu.

Kabla ya ujio wa hizo chanjo za watoto katika watoto watano takriban wawili hadi watatu waliokuwa wanafariki dunia kabla ya kufikisha umri wa miaka mitano na babu na bibi zako walikuwa ni wahanga wa hili huko nyuma.

Nchini Nigeria kaskazini mwa nchi hiyo ambako wananchi wengi ni wa imani ya kiislam miongo kadhaa nyuma walikuwa wakipinga sana hizi chanjo za watoto lakini baadaye walizikubali tena wenyewe baada ya watoto wengi ambao hawakuchanjwa kuwa viwete ndio maana leo hii eneo hilo lina viwete wengi sana katika Nigeria na leo hii hakuna tena anayepinga hizo chanjo.

Kuna imani zingine ni za kipumbavu sana kiasi kwamba zikiendekezwa zinaweza kuangamiza kabisa watu.
Sulua na polio ingetumaliza, magharibi na ubaya wao wote lakini ni muhimu sana hapa Africa ila tunajitoaga ufahamu tu, wakati hatuna chochote chamaana zaidi yakuchongoa midomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haina meno ajaribu kuchomoka basi aende nchi nchi fulani hivi, na usishangae urusi wakampeleka wenyewe huko ICC ili wapate kujenga nchi yao
Mwezi wa nane anaenda Africa kusini mkutanoni mwaka huu.
 
Kuna hatari baadhi ya nchi kujiondoa NATO
ngoja waende huko wakajionee unyonyaj wa China , USA anapoteza ela kwa mataifa yasiyo na msimamo ndio maana Trump alitaka itelekeza hiyo NATO
 
Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya Waafrika wanahusudu sana mataifa ya magharibi - uwambii kitu wakakuelewa, hata agenda zao za siri zenye lengo laku-depopulate bara la Afrika kwa kutumia chanjo ya polio, covid, cervicle cancer na GMO - waswahili wengi hata baadhi ya wasomi hawana habari nazo, save marehemu Magufuli (RIP).
weng hatupo kimahaba tunakosoa ugaid wa Putin ila nyny vichaa mnahisi kuikosoa urusi ni kushabikia west , tuna la kujifunza kwa west kweny kusaidiana sisi km waafrika wakat mmoja wetu anapokuwa kweny majanga au janga bila kujali tunamkabili adui mweny ukubwa kiwango gani , ila waafrika tumefunga bongo mgogoro utaisha hatujajifunza lolote zaid ya kusema URUSI NI TAIFA TEULE
 
Hungary inasema haitamkamata rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo angeingia nchini humo, licha ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati ya kukamatwa kwake wiki iliyopita, ikimtuhumu kuwachukua kinyume cha sheria mamia ya watoto kutoka Ukraine.

Mkuu wa wafanyakazi wa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, Gergely Gulyas, alisema siku ya Alhamisi kwamba ingawa Hungary imetia saini Mkataba wa Roma, mkataba uliounda ICC, na kuuidhinisha mwaka 2001, lakini kumkamata Putin hakutakuwa na msingi katika sheria za Hungary.

“We can refer to the Hungarian law and based on that we cannot arrest the Russian President … as the ICC’s statute has not been promulgated in Hungary,” Gulyas said. He added that the Hungarian government had not yet “formed a stance” on the ICC arrest warrant for Putin.

The comments might not come as a huge shock to Hungary’s European neighbors.

Orban and his government have always been by far the closest ally of the Kremlin within the European bloc. After Putin ordered Russian troops to invade Ukraine last year, Orban was the most reluctant European Union leader to impose sanctions on Russia.

Hungary is also a NATO member and has voiced objections to Western nations sending arms to Ukraine. Orban has warned that Europe is “drifting into” the war in Ukraine and has made extensive efforts to block Ukraine from joining NATO. It is also dragging its feet on Sweden’s efforts to join NATO.

The 123 member states of the ICC are obliged to act on an arrest warrant, meaning that if Putin enters any of these territories he should be placed under arrest by national law enforcement. However, Gulyas claimed on Thursday that the Rome Statue has not been built into the Hungarian legal system, so would not apply.
In what will be interpreted as a sympathetic stance to the Kremlin, Gulyas said of the arrest warrant: “These decisions are not the most fortunate as they take things towards further escalation and not towards peace, this is my personal subjective opinion.”

Russia has dismissed the ICC’s warrant as “unacceptable,” saying that it is not subject to the ICC’s decisions.

“Russia, like a number of states, does not recognize the jurisdiction of this court and, accordingly, any decisions of this kind are null and void for the Russian Federation from the point of view of law,” Kremlin spokeperson Dmitry Peskov tweeted shortly after the warrant was issued.

The ICC’s Chief Prosecutor Karim Khan told CNN last week that “Article 27 of the Rome Statute makes it very clear that the official position of an individual is irrelevant to the jurisdiction of the court. The independent judges of the court have also found it appropriate [to issue the warrant}.
Hungary hajui anafanya nn , hayaoni ya Ukraine ? Hata mm ningekuwa rais ningejiunga na NATO , huko BRICS huez ongea hv anavyoongea sasa hv akiwa NATO na watu wakamuacha salama , URUSI haina diplomasia waulize Moldova , Georgia , Finland , Japan na Ukrainr , Urus hana win to win yeye anaangalia heshima yake kwanza
 
Mwezi wa nane anaenda Africa kusini mkutanoni mwaka huu.
Aliyetamka kumlinda Putin South Africa Julius Malema kiongozi wa upinzani South Africa hata serikalini hayuko, tulitarajia kauli hiyo ingetolewa na Ramaphosa Rais wa South Africa, sasa haina mantiki yoyote putin asijaribu kutia maguu atajashtuka yupo The Heague
 
Get lost you damned silly fool - umezoea sana kuzodoa na kuwatukana watu hasa wanapokuwa na maoni tofauti na ya kwako, unawezaje kuwaita watu vichaa, wewe unaye wasema vibaya wenzako ndio kichwa chako kipo skewed wired by your maker!!

Huna staha hata kidogo - ebu fatilia fatilia unavyo wajibu jibu members wenzako, umejaa jeuri tu na kujisikia - wewe nani katika jukwaa hili la JF, kama ungekuwa na uwezo au mega smart upstairs si ungeanzisha la kwako, hupo hupo tu always overly arrogant.

Hujui kiundani hata mgogoro huu wa Ukraine ulianza anzaje wewe masaa yote unafikiri Putin alikurupuka tu asubuhi moja na kuivamia Ukraine bila sababu za msingi, eti "Putin ndiye kavamia nchi ya watu" huna hata habari who engineered maidan/orange revolution in Ukraine" huna habari long term plan za USA zilikuwa zina lengo gani hatarishi kuhusu Putin na Russian Federation in particular, hutaki kujua ukweli, wewe masaa yote mantra yako ni: Putin, Putin, Putin kavamia nchi ya watu.

Nilisha washauri kwamba mkitaka kujua kuindani malengo ovu ya Merikani linapo kuja suala la ustawi wa Urusi, basi someni kitabu kilicho andikwa na Prof. Zbigniew Brzezinski "the Grand Chessboard" ndio mtajua jamaa hawa wakoje linapo kuja suala la kuitumia Ukraine kupigana a proxy war in Ukraine on behalf ya Merikani, kitabu hicho kinatumika kama Biblia na viongozi wa Merikani na Majenerali wa kijeshi wanakihusudu kweli kweli.

FYI vita hii havikutokea kwa bahati mbaya hata kidogo ndio maana US,UK na Ujerumani walikuwa wanamshauri Zelensky acheleweshe makubaliano ya Misk1&2 ya kuleta amani baina ya Urusi na Ukraine lengo likiwa ni kupata muda wa kuiongezea silaha jeshi la Ukraine na ku-recruit wanajeshi wengi wakiwemo mamluki na some NATO troops dressed in Ukrainian military Uniform lengo likiwa ni kutaka kuidhoofisha kijeshi Urusi kwanza, lengo lapili kuihujumu kiuchumi, lengo la mwisho ni kuivamia Urusi ikiwa dhaifu na kuisambaratisha kwenye vinchi vidogo vidogo ambavyo US multinational Companies watalazimisha kuwekeza na ku-exploit vast natural resources za Taifa la Russia.

Cha kujiuliza hapa why USA chose kuitumia taifa la Ukraine kwa malengo yake ya kuisambatatisha Urusi - jibu ni rahisi: Cha kwanza Merikani inajua vizuri sana kwamba Ukraine ndio taifa kubwa kieneo barani Ulaya, lina jeshi kubwa na zana nyingi za kivita walizo kuwa wamezirithi kutoka former Soviet Union na waliongezewa nyingine kutoka majeshi ya NATO na wanajeshi wake kupewa mafunzo na mataifa ya NATO kwa lengo la kuvamia majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine hasa hasa Crimea na baadae kuishambulia Urusi yenyewe - walipanga kutekeleza mpango huo mwezi wa pili 2022 lakini Putin kawawahi baada ya kupewa taarifa za kintelijensia, Putin aka spring up a pre emptive strike na kuvuruga mipango yao ndio maana US/NATO wamekasirika sana - wanasema wanataka kuhakikisha Putin hashindi vita hii no matter what - sasa sisi yetu macho tutaona mwenye akili na uwezo wa kivita ni nani kati ya miamba hii miwili.
punguza mipasho stick to your point buddy , mpk nmeshindwa soma essay yako

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom