Hungary imesema haitamkamata Putin iwapo ataingia nchini humo

Sulua na polio ingetumaliza, magharibi na ubaya wao wote lakini ni muhimu sana hapa Africa ila tunajitoaga ufahamu tu, wakati hatuna chochote chamaana zaidi yakuchongoa midomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haina meno ajaribu kuchomoka basi aende nchi nchi fulani hivi, na usishangae urusi wakampeleka wenyewe huko ICC ili wapate kujenga nchi yao
Mwezi wa nane anaenda Africa kusini mkutanoni mwaka huu.
 
Kuna hatari baadhi ya nchi kujiondoa NATO
ngoja waende huko wakajionee unyonyaj wa China , USA anapoteza ela kwa mataifa yasiyo na msimamo ndio maana Trump alitaka itelekeza hiyo NATO
 
weng hatupo kimahaba tunakosoa ugaid wa Putin ila nyny vichaa mnahisi kuikosoa urusi ni kushabikia west , tuna la kujifunza kwa west kweny kusaidiana sisi km waafrika wakat mmoja wetu anapokuwa kweny majanga au janga bila kujali tunamkabili adui mweny ukubwa kiwango gani , ila waafrika tumefunga bongo mgogoro utaisha hatujajifunza lolote zaid ya kusema URUSI NI TAIFA TEULE
 
Hungary hajui anafanya nn , hayaoni ya Ukraine ? Hata mm ningekuwa rais ningejiunga na NATO , huko BRICS huez ongea hv anavyoongea sasa hv akiwa NATO na watu wakamuacha salama , URUSI haina diplomasia waulize Moldova , Georgia , Finland , Japan na Ukrainr , Urus hana win to win yeye anaangalia heshima yake kwanza
 
Mwezi wa nane anaenda Africa kusini mkutanoni mwaka huu.
Aliyetamka kumlinda Putin South Africa Julius Malema kiongozi wa upinzani South Africa hata serikalini hayuko, tulitarajia kauli hiyo ingetolewa na Ramaphosa Rais wa South Africa, sasa haina mantiki yoyote putin asijaribu kutia maguu atajashtuka yupo The Heague
 
punguza mipasho stick to your point buddy , mpk nmeshindwa soma essay yako

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…