Hungary yawaumbua wenzake: Kwa vitendo kampumi zao zinanunua gesi ya urusi kwa ruble lakini wao kwa maneno wanadai hawakubali kununua gesi kwa ruble

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Waziri wa mambo ya nje wa Hungary aqmeamua kuwaumbua wenzake wa nchi za ulaya ambao viongozi wao wanajitokeza kwenye vyombo vya habari na kudai hawakubali kununua gesi ya urusi kwa ruble, wakati wanajua kuwa wameyaruhusu makampuni yao yanayoagiza gesi kununua kwa ruble kama urusi inavyotaka. Akasema sisi unafiki huo hatuuwezi na tunasema hadharani kuwa tumekubali kununua gesi kwa ruble!! Moja ya nchi iliyofanya unafiki huo ni Danmark. Waziri wake mkuu alisema ""sisi kama serikali hatukubali, lakini makampuni wao hatuwezi kuwaingilia taratibu zao!!

Meanwhile, Hungarian Foreign Minister Péter Szijjarto said at a press conference, recorded Friday on his social media account, that some European companies that import natural gas from Russia have agreed to Moscow’s payment scheme, but they do not talk about it honestly.

Szijjarto explained that in order to buy gas, importing companies, and not countries, should open two accounts with Gazprombank, one in euros or dollars and another one in rubles.

“And we will do it, like others, I would like to emphasize, like others … it is not true that others have refused this, they simply do not talk about it so honestly for various reasons, and the international liberal media support them in that,” he said, adding “We are open about this issue.”

Szijjarto stressed that “natural gas can only be bought physically. I haven’t yet seen that one could heat an apartment with political positions or political statements.”
 
Weshaanza kurudi kufanya biahsara na Urusi

. 🤔
 
Urusi ikiona wanazidi kusumbua mwisho wa siku itasema NI MARUFUKU NCHI ZA MAGHARIBI zinazoleta ukorofi KUNUNUA GESI YA URUSI KWA FEDHA YOYOTE ILE. itawakatia gesi. Ikifanya hivyo leo huko ulaya itakuwa ni KILIO NA KUSAGA MENO!!
Ni kweli na yenyewe itakosa hizo pesa lakini ITALAZIMISHA HESHIMA.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Hungary aqmeamua kuwaumbua wenzake wa nchi za ulaya ambao viongozi wao wanajitokeza kwenye vyombo vya habari na kudai hawakubali kununua gesi ya urusi kwa ruble, wakati wanajua kuwa wameyaruhusu makampuni yao yanayoagiza gesi kununua kwa ruble kama urusi inavyotaka. Akasema sisi unafiki huo hatuuwezi na tunasema hadharani kuwa tumekubali kununua gesi kwa ruble!! Moja ya nchi iliyofanya unafiki huo ni Danmark. Waziri wake mkuu alisema ""sisi kama serikali hatukubali, lakini makampuni wao hatuwezi kuwaingilia taratibu zao!!

Meanwhile, Hungarian Foreign Minister Péter Szijjarto said at a press conference, recorded Friday on his social media account, that some European companies that import natural gas from Russia have agreed to Moscow’s payment scheme, but they do not talk about it honestly.

Szijjarto explained that in order to buy gas, importing companies, and not countries, should open two accounts with Gazprombank, one in euros or dollars and another one in rubles.

“And we will do it, like others, I would like to emphasize, like others … it is not true that others have refused this, they simply do not talk about it so honestly for various reasons, and the international liberal media support them in that,” he said, adding “We are open about this issue.”

Szijjarto stressed that “natural gas can only be bought physically. I haven’t yet seen that one could heat an apartment with political positions or political statements.”
 
Nchi za magharibi hawajawahi hata siku moja kufikiri kuwa Urusi inaweza ikaamua kuwakatia gesi kwa kuwa wanaona urusi inazihitaji sana pesa za mauzo ya gesi. Lakini wanashindwa kujua kuwa wanaweza kuifikisha mahali ikasema POTELEA MBALI NA PESA ZAO, SIWAPI GESI YANGU. Kama Urusi ikaamua hivyo kutakuwa na taharuki kubwa sana ulaya magharibi na ndani ya wiki moja watanyosha mikono!!
 
Hii vita wazungu wanalaumiana sana. Baadhi ya makampuni makubwa kabisa ya kutengeneza mbolea ulaya yameanza kufunga baadhi ya viwanda kwa kukosa rasilimali itokanayo na gesi. Mfumuko wa bei juu nk.. Mnufaika mkubwa kuliko wote wa vita hivi ni Marekani haswa makampuni ya silaha na gesi asilia…
 
Nchi za magharibi hawajawahi hata siku moja kufikiri kuwa Urusi inaweza ikaamua kuwakatia gesi kwa kuwa wanaona urusi inazihitaji sana pesa za mauzo ya gesi. Lakini wanashindwa kujua kuwa wanaweza kuifikisha mahali ikasema POTELEA MBALI NA PESA ZAO, SIWAPI GESI YANGU. Kama Urusi ikaamua hivyo kutakuwa na taharuki kubwa sana ulaya magharibi na ndani ya wiki moja watanyosha mikono!!
Hio inaitwa boss hanuniwi😂
 
Weshaanza kurudi kufanya biahsara na Urusi

. 🤔

Wazungu wameshajigundua kuwa watakuwa victim wakuu wa vita ya Ukraine iliyopangwa na CIA ili kufanikisha mpango wa US wa kuitawala dunia bila kipingamizi.

Wazungu watatumika kama toilet paper kisha kutupwa na kuachwa wakijiozea. Wakati watoto na wajukuu wao wakiishi kwa shida marekani ataendelea kupambana na mchina ili afikie lengo lake la kuitawala dunia.
 
Back
Top Bottom