Hunger alert in Kanya as Zambia 2018 maize output to fall about 34 percent - government

Hii tulimkashifu Uhuru sana. Najuwa hatarudia tena. Sisi si watu wa kupewa msaada na kanchi kadogo kama hako.
kumbe mulipewa msaada wa chakula sasa unachobisha wewe ni nini??? kenya njaa ipo kila mwaka tena afadhali ya miaka iliopita miaka hii ndio munanjaa zaidi😀😀
 
Wachina wanapenda kulamba matak* yetu. Tungefanya nini? Yaani ulikuwa unataka tuwaambie wasilete msaada ilhali kuna janga. Mbona wakati wa earthquake Tanzania tulileta msaada. Si mngekataa basi.
misaada huja sehemu zenye matukio ndugu mkiwa na njaa msaada lazma mletewa na lazma mupokee tena kwa heshima😀😀😀😀
 
kumbe mulipewa msaada wa chakula sasa unachobisha wewe ni nini??? kenya njaa ipo kila mwaka tena afadhali ya miaka iliopita miaka hii ndio munanjaa zaidi😀😀
Nataka joto la jiwe aje tuongee hii maneno maana yeye ndio ameanza hii propaganda. UAE au China kutupa chakula sioni ubaya wake. Kumbuka serikali ya Kenya, mwaka uliopita wakati kulikuwa na shida ya mahindi Kenya nzima, iliweka zero tax na kuruhusu importers kuimport maize kutoka wherever. Billions of shillings worth of maize iliimportiwa. Sasa nionyeshe hapo kuna msaada gani wa chakula ama ni sisi tunajituma kununua chakula badala ya kubebana na vibakuli kama wakati wa Moi. Uhuru si mtu wa kubebana na vibakuli, wacha kudanganya. China na UAE wanatulamba matak*. Wachana na hao, wana ajenda yao. Serikali ya Kenya na wakulima wetu ndio wanatulisha
 
serekali haiwezi kununua chakula ya kuwalisha wakenya wote ndio maana hata budget yenu 40% munategemea misaada kutoka kwa wahisani so kwenye drought kwenye ile misaada lazima mutegemee tena sana tu
 
40 % ya budget yetu tunategemea debt sio misaada. Debt sio msaada. Tafakari hayo.
 
subiri nikuoneshe bro acha kuhaha
ni debt and grants 😀😀😀😀misaada ni lazima sio hiari hehehe
6EE4326E-2891-48EE-B702-AA93F414453F.jpeg
 
Nataka joto la jiwe aje tuongee hii maneno maana yeye ndio ameanza hii propaganda. UAE au China kutupa chakula sioni ubaya wake. Kumbuka serikali ya Kenya, mwaka uliopita wakati kulikuwa na shida ya mahindi Kenya nzima, iliweka zero tax na kuruhusu importers kuimport maize kutoka wherever. Billions of shillings worth of maize iliimportiwa. Sasa nionyeshe hapo kuna msaada gani wa chakula ama ni sisi tunajituma kununua chakula badala ya kubebana na vibakuli kama wakati wa Moi. Uhuru si mtu wa kubebana na vibakuli, wacha kudanganya. China na UAE wanatulamba matak*. Wachana na hao, wana ajenda yao. Serikali ya Kenya na wakulima wetu ndio wanatulisha
Tony 254, nchi inapokumbwa na njaa kali hadi kusababisha vifo, maana yake ni kwamba, kuna watu wengi hawana uwezo wa kupata chakula, hii haimaanishi chakula hakipo mchini tu, bali ni kwamba wananchi wengi hawana uwezo hata wa kununua chakula kama kipo, wakati mwengine hata ukiwapa chakula, hawana uwezo hata wa kupika hicho chakula kwa kukosa kuni au fuel ya kupikia, ndiyo sababu katika hali hiyo, watu hao hupelekewa vykul vya kwenye makopo ambavyo hawahitaji kupika.

Kenya pamoja na kununua mahindi toka Mexico/South Africa, bado jamii za wafugaji wa Turkana, Pokot, Wajir na kwengneko walihitaji kupewa vyakula vya bure kwasababu hawakuwa na uwezo hata wa kununua nusu lita ya mafuta ya kupikia, hivyo wasingeweza kununua mahindi ya Mexico. Kenya ulilazimika kuomba na kupokea msaada wa mahindi ili kuwapa bure bila malipo famili nyingi zilizokua hatarini kufa kwa njaa.
 
Diaspora wa Kenya wanaagiza nyumbani pesa nyingi nyumbani na ni moja ya source kubwa ya fedha za kigeni. Tanzania haina hiyo bahati. Hao diaspora kwa mwaka wanatuma pesa inayoweza kuagiza mahindi ambayp inapungukiwa. No wonder uchumi wa Kenya ni imara sana. Ukichanganya na bidhaa za viwanda na kilimo kama chai Kenya inapata fedha nyingi kuweza kuhimili upungufu wa chakula mwaka wowote bila kuathirika kiuchumi. Kuhusu njaa za MTU mmoja mmoja kila nchi wapo wenye njaa hata marekani kuna wananchi hawajui Leo kesho watakula nini., ndio mfumo wa ubepari unavyoenda duniani kote. Hii ni anomaly behaviour ya ubepari inahitaji kusahihshwa haraka kwa Amani ya dunia ya kesho. The top 1% wanamiliki 30% ya uchumi duniani .
 
Kenya inaakiba ya fedha inayowawezesha kununua bidhaa na chakula kitoka nje kwa miezi mitano (5) tu, hali iliyo sawa na Tanzania. Sioni huo uchumi mzuri unao usema.
 
Tony 254, nchi inapokumbwa na njaa kali hadi kusababisha vifo, maana yake ni kwamba, kuna watu wengi hawana uwezo wa kupata chakula, hii haimaanishi chakula hakipo mchini tu, bali ni kwamba wananchi wengi hawana uwezo hata wa kununua chakula kama kipo, wakati mwengine hata ukiwapa chakula, hawana uwezo hata wa kupika hicho chakula kwa kukosa kuni au fuel ya kupikia, ndiyo sababu katika hali hiyo, watu hao hupelekewa vykul vya kwenye makopo ambavyo hawahitaji kupika.

Kenya pamoja na kununua mahindi toka Mexico/South Africa, bado jamii za wafugaji wa Turkana, Pokot, Wajir na kwengneko walihitaji kupewa vyakula vya bure kwasababu hawakuwa na uwezo hata wa kununua nusu lita ya mafuta ya kupikia, hivyo wasingeweza kununua mahindi ya Mexico. Kenya ulilazimika kuomba na kupokea msaada wa mahindi ili kuwapa bure bila malipo famili nyingi zilizokua hatarini kufa kwa njaa.
Kama ni Turkana, hio ni sahihi kwamba wana shida ya njaa( sio kila siku bali saa zingine). Kwa mfano kwa miezi kadhaa sasa, sijasikia repoti ya habari eti kuna njaa hizo sehemu.Lakini kwani wewe hufahamu historia ya Kenya? Watu wa Northern Kenya wamekuwa na hio shida kwa muda mrefu. Lakini ukisema kuwa Wakenya hawawezi kujilisha hio ni generalization. Ilitakiwa useme kuna baadhi ya sehemu Kenya ambapo watu wana shida hiyo.
 
Kenya ana reserve ya 8.4billion USD na Tanzania an a 5.4 billion USD .kwa mujibu wa mawziri wa fedha mwaka huu. Sasa kama wakenya wako 40 million kwa idadi na Tanzania ni million 50 piga hesabu za msingi nani tajiri. Pia kuna hii notion kuwa Kenya INA madeni kuliko Tanzania ,hii ukiangalia Kenya wako salama kuliko Tanzania, hii haiakisi ukwrli kuwa deni la Kenya sehemu kubwa ni deni LA ndani wakati Tanzania INA deni kubwa LA nje. Unaposikia kuwa Marekani ana deni 100% ya GDP ikiwa ni deni a ndani sio shida , lakini likiwa deni LA nje 50% ya GDP ya nchi ni balaa kwa uchumi.kama ni deni LA nje. Kudaiwa nje unakusanya wee halafu zote unawapatia wa nje haziingii kwenye mzunguko wa ndani. Lakini deni LA ndani kama haya matrilion ya mifuko ya hifadhi za jamii ukilipa zinaingia mzunguko wa ndani .halafu huna pressure ya kuzilipa kama zile zile za mumiani wa IMF .sababu madeni ya ndani MTU akistaafu anapewa stahiki zake polepole. Hapa ni swala LA kujadili na kupeana ELIMU kidogo ambayo unadhani ushiriki na wenzio , bahati mbaya wavivu wa kutafuta hoja wataingia humu na jazba na kujiita wao wazalendo a wenye maoni tofauti sio wazaendo. Shida ya nchi yetu kuna watu wamebinafsisha uzalendo kwa hoja za nguvu. Hayo ni maoni binafsi yangu, karibu tupanuane Mawazo ila povu bora ukae kimya maaana litaonyesha tu kuwa upstairs ni empty.
 
Kenya ina akiba ya fedha inayowawezesha kununua bidhaa na chakula kitoka nje kwa miezi mitano (5) tu, hali iliyo sawa na Tanzania. Sioni huo uchumi mzuri unao usema.
Unajua uchumi ni neno pana sana , mfano MTU mwenye mshahara Wa shilingi miioni moja akiba yake ya miezi sita ni shilingi miioni 6. MTU mwenye mshahara Wa Milioni 2 kwa mwezi akiba yake ya miezi 6 ni Milioni 12 . lakini wote hapo wana akiba ya miezi 6 lakini je pesa yao mfukoni ni sawa. Sasa Kenya ana akiba ya 6.8 bln ndio akiba yao ya miezi 6 na Tanzania ana akiba ya 4.8 bln dola za USA na yeye ni akiba ya miezi sita. lakini je mwenye pesa nyingi ni nani . hiyo ndiyo hoja . Kenya kwa miaka ya karibuni wamekuwa na miaka ya njaa kwa sababu ya hali ya hewa ,kwa hiyo Tz tunawazidi chakula. Ila Nina wasiwasi Kenya ardhi iko mikononi mwa wachache kwa hiyo sishangai kuwa hao wenye Ardhi wameamua kulima chai,maua na mazao mengine yenye hela zaidi kwa hiyo wamepuuza mahindi kwa hiyo njaa atakuwa mgeni wao tu. Hapo ndio serikali hutoza kodi na kununua mahindi. Labda waliona kununua mahindi haiwaathiri kiuchumi. Kwa kumalizia angalia bajeti ya serikali ya Kenya inazidi ya Tanzania, Uganda na Rwanda zikijumlishwa pamoja mwaka huu 2017. Sasa jibu ni kuwa Kenyani tajiri kuliko Tanzania . kama kusema hivyo ni kukosa uzalendo samahani kwa was mliobonafsisha uzalendo.Kenya ni tajiri kuliko Tanzania ukichukua majumuisho yote ya indicator za strong economy. Hivi Saudia anaweza akajilsha chakula mwenye like jangwa,? Lakini kiuchumi ukilinganisha na Tanzania sisi si ni dwarf kwake .Sababu ni mafuta , yake ,
 
Kwa ufafamuzi mwepesi, kama Kenya ina $6.8 bln na Tanzania ina $4.8 bln (japo kuwa takwimu zako sio sahihi), fedha hizo zinawawezesha kudumu maisha kwa miezi 6. Baada ya miezi 6 wote tutakufa haijalishi nani anapesa nyingi kuliko mwenzake.

Mfano mzuri ni nchi ya Botswana, ambayo ina watu million 2 huku ikiwa na akiba ya fedha inayowawezesha kuagiza bidhaa na huduma kutoka nje kwa miezi 20 sawa na $7.5 bln. Hapo hapo uzalishaji wa bidhaa na huduma (GDP) kwa Botswana ni $17bln. Je, Botswana wanahela nyingi kuliko Kenya na Tanzania?? Au wao wanaweza kupumuwa kwa muda mrefu zaidi (miezi 20) kuliko Kenya na Tanzania??
 
Danganyika dreams, sleeps, eats, breaths and walks Kenya.
 
Back
Top Bottom