Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

Hi ni wapi
Screenshot_2020-04-27-06-19-03.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wakenya akili hamna eti, Unatuletea tatizo ambalo ndio linasibu nchi yenu, Tanzania Kuna chakula Cha kutosha mwaka huu na msituletee mastori ya kijinga, nyie endeleeni na jubilee yenu huko.

Na mwaka huu njaa itawamaliza, nzige wamefyeka mashamba yote[emoji12]

Ha ha.. Mnadanganya watu mnavyolima.. Lakini takwimu ni tofauti..
 
WaKenya buaaana
Mnathubutu kuiweka Tz kwenye baa la njaaa hahahhh mnachekesha
Nyanda za Juu Kusini inalisha Tz sehemu kubwa na nje ya Tz
Tuna chakula Tunalima
WaKenya wavivu sana
Man mambo ninyi kha
Kama kwa BBCSwahili mmeandika Kenya ndio bora kwa Kiswahili kwenye msiba wa Proffesor Nani sijui
Muwe wa wakweli
Kiswahili bora ni Tz wengine wote mnajisogeza
Mnajivuna na Kidhungu bakieni nacho msijipe credit kwa Lugha ya Kiswahili
Kiswahili chenu kibovuuuuu
Unajua Wafanyikazi wengi sa BBC ni wakenya lazima wafanye linalofaa kuvutia kamba kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha.. Mnadanganya watu mnavyolima.. Lakini takwimu ni tofauti..
Takwimu za kwenye makaratasi mnazoandaa kujifariji lazima muweke zinazowafariji. Ndiyo maana huwa mnajidanganya nyie ni middle income state, wakati hali yenu Ni sawa na Burundi.

Mna maisha magumu Sana nyie wagalatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu za kwenye makaratasi mnazoandaa kujifariji lazima muweke zinazowafariji. Ndiyo maana huwa mnajidanganya nyie ni middle income state, wakati hali yenu Ni sawa na Burundi.

Mna maisha magumu Sana nyie wagalatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha.. Ukulima mnaofanya ni ule wa peasant farming.. Iweje kenya inazalisha farm products kwenye sector nyingine kuliko Tanzania?? Ni zao gani ambalo mnaongoza Africa???
 
Back
Top Bottom