Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

Kwa sababu unataka kutolewa tongotongo
Ngoja tukusaidie ili upate mwanga
 
Kumbe wakenya akili hamna eti, Unatuletea tatizo ambalo ndio linasibu nchi yenu, Tanzania Kuna chakula Cha kutosha mwaka huu na msituletee mastori ya kijinga, nyie endeleeni na jubilee yenu huko.

Na mwaka huu njaa itawamaliza, nzige wamefyeka mashamba yote[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha.. Mnadanganya watu mnavyolima.. Lakini takwimu ni tofauti..
 
Unajua Wafanyikazi wengi sa BBC ni wakenya lazima wafanye linalofaa kuvutia kamba kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha.. Mnadanganya watu mnavyolima.. Lakini takwimu ni tofauti..
Takwimu za kwenye makaratasi mnazoandaa kujifariji lazima muweke zinazowafariji. Ndiyo maana huwa mnajidanganya nyie ni middle income state, wakati hali yenu Ni sawa na Burundi.

Mna maisha magumu Sana nyie wagalatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha.. Ukulima mnaofanya ni ule wa peasant farming.. Iweje kenya inazalisha farm products kwenye sector nyingine kuliko Tanzania?? Ni zao gani ambalo mnaongoza Africa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…