Hunitaki sawa, lakini kwanini unitukane?

Hunitaki sawa, lakini kwanini unitukane?

Oya pambania kombe hapo hapo hata kama ni kutumia pesa tumia tuu, alafu akijaa tuu piga alafu tembea ili asijione keki kumbe dagaa za mwanza tuu
 
Alipokutukana ulimjibu nini? Nashauri huyo mwanamke apewe Dr Matola PhD 🤣🤣
Sikumrudishia tusi, nliendelea kuongea naye kawaida hata alivoendelea kunitukana, na wala sikuwahi kumsumbua kumtongoza mara nyingi, sikuwahi kumkosea useme ndo sababu ya yeye kunitukana, ila tu nlimwacha alivyo, leo asubuhi ndio nlimkumbuka na kushangaa kwanini yuko vile alivyo Detective J Evelyn Salt
 
Ungemtumia ya lunch uone kama bado anatatukana possible hayo matusi ni ya njaa
 
Siku nyingine ukitukanwa nenda kanunue maji ya baridi shushia hutopatwa na maumivu makali

nawaza jnsi ukivyopiwa kibuti na kutukanwa katika sentesi moja 'usinizoee mwendawazimu'[emoji1787]
Inauma [emoji1787]
 
Kijana ungetakiwa kwanza utangulize kama 10,000/= ya kusafisha njia alafu ndio unajitambulisha...... pesa ni sabuni ya roho.......
 
Kashindwa kutumia sabuni kusafisha njia,Sasa anachafuka mwenyewe[emoji4]
Hakika....
Nyakati za ujana niliwahi kupatiwa mawasiliano ya Binti mrembo.....nikamrushia kwanza 50,000/= iliyofuatia na meseji ya nzuri ya utambulisho....kilichofuatia baada ya hapo mteremko tu....vijana hawajiongezi
 
akija kuolewa, atakuja kuwa mke wa namna gani kwa mumewe?
Itakuwa anatukana watu kama wewe tu...
Maana ni wazi nyumbani kwao hawatukani nduguze.
Kwaiyo mume wake ataitwa kwa maneno matamu, ninyi mtalishwa maneno makali😂😂
 
Ungemtumia ya lunch uone kama bado anatatukana possible hayo matusi ni ya njaa
Hahaa angetaka ivo, angetakiwa awe mpole, mbona nlikuwa nshamwandalia bajeti yake, tena kwenye sms nlikuwa namwambia tuonane mahali twende kwenye mgahawa safi, tupate msosi na vinywaji gharama zote nalipa mm, huku tunafahamiana, imagine hio heshima niliompa, wakati Wadada wengine nawaalikaga straight waje ghetto.

Nimejidhalilisha na nimejitutumua kuja kukutongoza, halafu bado tena na wewe unidhalilishe kwa matusi na maneno ya dharau, halafu bado nikupe hela, hapana aisee..acha nikukose, na ndo maana wanaume wengi tunadharaulika na wadada kisa kuendekeza njaa ya nyapu Evelyn Salt
 
Hana adabu, bajeti yake ielekeze kwangu....tuma kwa namba hii
 
Mwisho wa siku kutongoza ni kujidhalilisha,kwa gharama yeyote achana na huo ujinga, otherwise tongoza direct kabla ya kuomba namba,mwambie tu mammy umenivutia nakutaka,akigoma achana naye.
 
Hana adabu, bajeti yake ielekeze kwangu....tuma kwa namba hii
Hahaa, ila nilimshangaa aisee, sijui yule mdada ana personality ya aina gani, maana anakaa home kwa wazazi, ana wazazi wote wawili, na kwa kumchunguza hajawahi umizwa na mwanaume kimahusiano, maana ni mdogo K.v miaka 19, hana experience na mambo ya mahusiano.. hadi nduguze wanajua ana mdomo..

Nahisi akiolewa, moto utawaka kwa mumewe, nasubiri kwa hamu nione mwanaume atakaeenda kusajili lile bomu, hio ndoa itakuaje Evelyn Salt
 
Yaani hata ukiendelea kuifuatilia hii manzi siku unapiga,na ukatoa shoo mbovu,atakuweka kwenye statasi na kukuita short fat guy Mzee.
 
Back
Top Bottom