Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
😯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikumrudishia tusi, nliendelea kuongea naye kawaida hata alivoendelea kunitukana, na wala sikuwahi kumsumbua kumtongoza mara nyingi, sikuwahi kumkosea useme ndo sababu ya yeye kunitukana, ila tu nlimwacha alivyo, leo asubuhi ndio nlimkumbuka na kushangaa kwanini yuko vile alivyo Detective J Evelyn SaltAlipokutukana ulimjibu nini? Nashauri huyo mwanamke apewe Dr Matola PhD 🤣🤣
Ungemtumia ya lunch uone kama bado anatatukana possible hayo matusi ni ya njaaSikumrudishia tusi, nliendelea kuongea naye kawaida hata alivoendelea kunitukana, na wala sikuwahi kumsumbua kumtongoza mara nyingi, sikuwahi kumkosea useme ndo sababu ya yeye kunitukana, ila tu nlimwacha alivyo, leo asubuhi ndio nlimkumbuka na kushangaa kwanini yuko vile alivyo Detective J Evelyn Salt
[emoji1787][emoji1787]Uzuri ulionywa kabla kuwa utatukanwa ila ukakaza fuvu. Kuhusu future yake kutokana na tabia zake tumuachie mwenyewe
Inauma [emoji1787]Siku nyingine ukitukanwa nenda kanunue maji ya baridi shushia hutopatwa na maumivu makali
nawaza jnsi ukivyopiwa kibuti na kutukanwa katika sentesi moja 'usinizoee mwendawazimu'[emoji1787]
ndio utafanyaj sasa 😀 hakun anayepend kuachwInauma [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]ndio utafanyaj sasa [emoji3] hakun anayepend kuachw
Kashindwa kutumia sabuni kusafisha njia,Sasa anachafuka mwenyewe[emoji4]Kijana ungetakiwa kwanza utangulize kama 10,000/= ya kusafisha njia alafu ndio unajitambulisha...... pesa ni sabuni ya roho.......
Hakika....Kashindwa kutumia sabuni kusafisha njia,Sasa anachafuka mwenyewe[emoji4]
Itakuwa anatukana watu kama wewe tu...akija kuolewa, atakuja kuwa mke wa namna gani kwa mumewe?
Hapo sasa anataka kutukomaza fuvu[emoji3]Umetukanwa na yeye, maswali tuulizwe sie!!
Hahaa angetaka ivo, angetakiwa awe mpole, mbona nlikuwa nshamwandalia bajeti yake, tena kwenye sms nlikuwa namwambia tuonane mahali twende kwenye mgahawa safi, tupate msosi na vinywaji gharama zote nalipa mm, huku tunafahamiana, imagine hio heshima niliompa, wakati Wadada wengine nawaalikaga straight waje ghetto.Ungemtumia ya lunch uone kama bado anatatukana possible hayo matusi ni ya njaa
Hana adabu, bajeti yake ielekeze kwangu....tuma kwa namba hiiHahaa angetaka ivo, angetakiwa awe mpole, mbona nlikuwa nshamwandalia bajeti yake, tena kwenye sms nlikuwa namwambia tuonane mahali twende kwenye mgahawa safi, tupate msosi na vinywaji gharama zote nalipa mm, huku tunafahamiana, imagine hio heshima niliompa, wakati Wadada wengine nawaalikaga straight waje ghetto.
Nimejidhalilisha na nimejitutumua kuja kukutongoza, halafu bado tena na wewe unidhalilishe kwa matusi na maneno ya dharau, halafu bado nikupe hela, hapana aisee..acha nikukose, na ndo maana wanaume wengi tunadharaulika na wadada kisa kuendekeza njaa ya nyapu Evelyn Salt
Hahaa, ila nilimshangaa aisee, sijui yule mdada ana personality ya aina gani, maana anakaa home kwa wazazi, ana wazazi wote wawili, na kwa kumchunguza hajawahi umizwa na mwanaume kimahusiano, maana ni mdogo K.v miaka 19, hana experience na mambo ya mahusiano.. hadi nduguze wanajua ana mdomo..Hana adabu, bajeti yake ielekeze kwangu....tuma kwa namba hii
KWAKWELI ANA GUNDU! ... MSAIDIE MZEE! 😅