Huo ndio uhalisia wa mwanamke hapendi mwanaume aliyeachana naye afanikiwe

Ila watu wengine kumbe Ticket ya Akhera madukani wanakata wenyewe.
😂😂😂😂
 
Japokuwa ni chai. Ni ujumbe wa kuamsha hisia za hasira ila ndio mawazo ya wanawake walio wengi. Tuishi nao kwa akili.
 
Nachojua ni nyie wanaume ndo hamtaki ex zenu wafanikiwe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…