Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

sisi hatuna shida na story za Muhammad na Alla wake wa mfukoni,tatizo amekuja kujinasibisha na Mungu ambaye hamjui,angekonaa tu na Allah wake na hekaya zake binafsi walaa.

ndio maana huwa tunasema Allah hawezi kuwa ndiye Mungu,mnaanza kulia.
kwanini kila mmoja asikomae tu na mbanga zake???
 
Hiki sio kijiwe cha porojo, jikite kwenye mada au kaa pembeni
 
Mbona tulisha elekeza hili jambo lete hiyo aya nikufundishe tena, maana unakichwa kizito
wewe huna ubongo wa kunifundisha Quran kaka ungekuwa umeielewa usingekuwa muislam mpaka sasa.
kamfundishe shetani asilimu tena.
 
Kwanini tulie sisi na wewe kudai Allah sio Mungu? sisi tunasikitika wewe kuishiwa Mungu mpaka unampa binadamu mwenzako aliekuwa anakunya mavi kama wewe Yesu kuwa ni Mungu, hili jambo kwakweli tunahuzunika
 
wewe huna ubongo wa kunifundisha Quran kaka ungekuwa umeielewa usingekuwa muislam mpaka sasa.
kamfundishe shetani asilimu tena.
Hapa unajadiliana na mtaalamu kweli kweli, kufundisha watu kama wewe na wengineo ni tabia yangu, lete aya nikufunue akili yako, siku nyingine msidanganyane huko
 
Kwanini tulie sisi na wewe kudai Allah sio Mungu? sisi tunasikitika wewe kuishiwa Mungu mpaka unampa binadamu mwenzako aliekuwa anakunya mavi kama wewe Yesu kuwa ni Mungu, hili jambo kwakweli tunahuzunika
usihuzunike Mtume kipenzi chako kutia mtoto akiwa na akili zake kisha akakupa Aya ya kukuziba mdomo uje usikitikie mtu ambaye huna hata ushahidi kwamba alikunya kama wewe!!!!

tofauti ya Yesu na Allah yeye alifanya jambo lolote kinyume na vile wamatumbi wameishi wakijua,mfano alikaa siku 40 bila kula,ila Allah muislam yeyote anajua hawezi kuwa na mtoto mpaka apate demu na ni kweli Allah mpaka awe na mke ndio anapata mtoto.

mungu mpechempeche kabisa kaka mtume wake.
 
Hapa unajadiliana na mtaalamu kweli kweli, kufundisha watu kama wewe na wengineo ni tabia yangu, lete aya nikufunue akili yako, siku nyingine msidanganyane huko
mtaalamu ambaye ni mfuasi wa Allah na Muhammad,hahaaaa utaalamu wa kuvaa kanzu vyena au kupiga kelele asubuhi!!!!
 
mtaalamu ambaye ni mfuasi wa Allah na Muhammad,hahaaaa utaalamu wa kuvaa kanzu vyena au kupiga kelele asubuhi!!!!
Sasa kanzu ina shida gani? wewe unaita adhana kelele kwasababu umeamua kutokuamini, zile kengere na yale manyimbo mnayoimba ni vip?? Narudia hapa umekutana na nguli kweli kweli hapa utaisoma namba
 
Hilo jambo unalojivuniq nalo limekusaidia nini? Na unawaambia wakristo wazinduke waende wapi yaani waache ujinga waende kwenye ujinga dini ni jambo linaloipa akili ubize hadi kushindwa kufikiri vya maana
 
Mwanaume kutia kuna shida gani? shida ni mwanaume kufirwa sio kutia, Allah ni Mungu kweli huwezi kuta huo ujinga eti Mungu katundikwa msalabani kama korodani, unaanzaje kwanza!!! Mungu sio wa mchezo mchezo haitaji hayo maujinga yenu sijui aje apigwe mkombolewe, jamaa muwe serious kuanzia huyo ibilisi mpaka binadamu wote ni viumbe vyake, sasa apigwe yeye ili apate nini? Allah awatoe kwenye imani ya kipuuzi hiyo Amin
 
Hilo jambo unalojivuniq nalo limekusaidia nini? Na unawaambia wakristo wazinduke waende wapi yaani waache ujinga waende kwenye ujinga dini ni jambo linaloipa akili ubize hadi kushindwa kufikiri vya maana
Ubaya ubwela tulia tupeane dawa
 
Sasa kanzu ina shida gani? wewe unaita adhana kelele kwasababu umeamua kutokuamini, zile kengere na yale manyimbo mnayoimba ni vip?? Narudia hapa umekutana na nguli kweli kweli hapa utaisoma namba
nyimbo na kengere utafananisha na hiyo sauti inayotoka kwa mtu ametoka kuamka na wenge la usingizi!!!

hata kaka ningekuwa sio muumini wa nyimbo na kengere,bado sio vitu vya kuweka eneo moja na adhana,zile ni kelele zinazopigwa na watu walioaga makwao lah tungewaita vichaa.
 
Allah si MUNGU ndugu yangu.
Anajishindanisha na Mungu na manabii wake kumpatia Muhammad uhalali wa kuaminika pale anaposema "hakuna Mungu isipokuwa allah"
Hiyo ni kufuru kubwa sana kuwahi kutokea yaani kumkana Mungu muumba mbingu na dunia.
Mnayemkana kupitia shahada ndiye Mungu.
Muhammad aliwadanganya sana amkeni!
 
Wewe endelea kupiga kengere kama mwanafunzi wa shule, sisi tutawaita watu kwa adhana sio kengere, hatuwezi kufanya mambo ya watoto wadogo, taratibu zimenyooka
 
sasa sisi tunavyosema Mungu anaweza kila kitu ni kufanya jambo lolote nje kabisa ya upeo wa kawaida wa kufikiri,Mungu yeyote ambaye yuko kwenye box la kichwa cha watu huyo ni mpechempeche kama Allah.

huwezi sema Allah hana shida halafu hapo hapo unaamini Allah alimtafuta Muhammad awe mtume wake!!!!akili kaka tuliza akili.
 
Allah amekamilika haitaji kupigwa makofi na viumbe wake ili awaokoe viumbe aliowaumba mwenyewe kutoka kwa Ibilisi alie muumba mwenyewe, Allah ni full package unaanzaje kumchezea na kumtemea mate? huyo Mungu wa mchongo ndio maana alitundikwa kama ndafu
 
Mungu hawezi fanya kila kitu, labda utuambie leo huyo Mungu wako anaweza kuwa Shoga? Mungu mtawala hawezi kufanywa kinyesi wewe
 
Wewe endelea kupiga kengere kama mwanafunzi wa shule, sisi tutawaita watu kwa adhana sio kengere, hatuwezi kufanya mambo ya watoto wadogo, taratibu zimenyooka
nawewe endelea kutumia speaker kama muuza dawa za mende sisi wacha tufanye mambo kama watu timamu kichwani.
 
Hiki sio kijiwe cha porojo, jikite kwenye mada au kaa pembeni
Najaribu kutumia logic nacheka sana.Unaipa dini yako uhalali wa kuonekana ya kweli kwa kutafuta gaps kwenye biblia!
Kwamba kwa kuwa bible iko kimya kwenye dini za patriarchs basi tuwape Ibrahi,Isaka na Yakobo uislamu.
Kama kweli walikuwa waislamu ilikuwaje descendants wao wasiwe waislam?
Kuna ushahidi wowote nje ya kitabu chako unaoisupport hoja yako?
 
Mungu wako ana mipaka ya kiutendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…