permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kwanza kuna ng'ombe mwenye rangi hizo?Kiswahili ni Sura ya ng'ombe jike rangi ya manjao-Surah Al-Baqarah Ayat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kuna ng'ombe mwenye rangi hizo?Kiswahili ni Sura ya ng'ombe jike rangi ya manjao-Surah Al-Baqarah Ayat
Ujinga mtaacha lini waafrika?
Kila mtume wa Mwenyezi Mungu huwa ni njia, ukweli na uzima. Toka enzi ya Ibrahim yeye alikuwa njia, kweli na uzima kwa watu wake hakuna aliyeweza kumjua Mwenyezi Mungu isipokuwa kupitia kwake, wakati wa Musa vilevile yeye alikuwa njia, kweli na uzima watu wake walimjua Mwenyezi Mungu kupitia yeye, wakati wa Yesu pia yeye alikuwa njia, kweli na uzima hakuna aliyeweza kumjua Mwenyezi Mungu ila kupitia yeye Na Muhammad ni mtume wa mwisho na yeye kuwa njia, kweli na uzima ili ufike kwa Mwenyezi Mungu lazima upitie kwake.Mungu hakuweka dini duniani aliweka ufalme chini ya Adamu.Baada ya Adamu kuanguka Akamtuma mwanae kumrejesha binadamu tena Akisema yeye ndiye njia,na kweli na uzima binadamu hatamwona Mungu ila kwa njia ya Yesu(yoh 14:6)
Wadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
nidhahiri wametapeliwaKwanza kuna ng'ombe mwenye rangi hizo?
Kwahiyo sisi tufanyeje kama alikuwa muislam?black people tuna laana ya kujikombaWadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Wakatoliki waliikosea sana dunia kwa kuanzisha hiyo dini ya mudiYakobo ameishi kabla hata mudi hajazaliwa unasema alikuwa muislam! Uislam umeanzishwa na waroma ndiyo maana kwenye msahafu Kuna injili na torati. Mudi hajazaliwa wayahudi wanasoma injili na torati. Mudi kaja Juzi hapa nae eti kateremshiwa injili na torati hamsituki? Kuweni na akili bana tumechoka na vituko vyenu!
Hivi kweli kasisi wa kikatoliki amtengeneze mtume ili aje kuipinga imani yake ya kukataa utatu wa Mungu na kukataa kusulubiwa na kuuawa kwa Yesu msalabini ambayo ndiyo nguzo kuu ya imani yake?Huu uislam wa mtume aliyetengenezwa na makasisi wa Kikatoliki au ni uislamu upi?
Uislamu ni dini kama zilivyo dini nyingine za kienyeji kwa kila Kabila na jamii . Uslam ni mila na tamaduni za nchi za mashariki ya kati . Uislamu hauna maana yoyote kama inakua dini inayopigania tamaduni ,mila na desturi za waarabu kwa kuua bila kuponya nafsi za watu kutoka rohoni.
Sijawahi kuisikia Waislam wakipinga ukandamizaji kwenye nchi zilizofuata tamaduni za kiarabu . Yaani hakuna muislam anayeguswa na dhulma inayofanywa dhidi ya jamii isiyo ya kiislam. Ukiwa na watu wanaofia dini lakini hawajali haki za binadamu basi hiyo dini haina umuhimu wowote kwa binadamu wote zaidi ya kuwa kama Chama na taasisi ya watu kwa manufaa ya watu .
Hilo la Yakobo kuwa Muislam haina tija yoyote maana ukifanya uovu leo Yakobo hataulizwa yeye .
Tendeni mema kwa binadamu wenzenu . Yale msiyoyapenda kufanyiwa basi msowafanyie wengine .
Huyu ndo huwajaza ujinga sana Ijumaaduh 🙄 Sheikh kitinku