mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
sisi hatuna shida na story za Muhammad na Alla wake wa mfukoni,tatizo amekuja kujinasibisha na Mungu ambaye hamjui,angekonaa tu na Allah wake na hekaya zake binafsi walaa.Una ugonjwa wa kusahau wewe, kwani Yesu akisema wewe si unaamini? Sasa wivu wa nini sisi kuamini anachosema Mohamadi ? Nimeshakufundisha hapa Ubaba anaokataa Allah ni ule wa watu kudai kuwa kwa vile Yesu hana baba basi baba yake ni Mungu , huu ubaba wa kushiriki tendo ndio Quran imekataa, sasa sijui kipi kizito kuelewa
ndio maana huwa tunasema Allah hawezi kuwa ndiye Mungu,mnaanza kulia.
kwanini kila mmoja asikomae tu na mbanga zake???