Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

1.Wayahudi walimwambia Pilato wana mfalme mmoja tu nae ni Caesari, yule Yesu alikuwa sio mfalme wao kwahiyo apigwe msalaba, yaani wameshandwa kuamini ufalme wake waje kuamini Uungu!!😂😂 hizi bangi za wapi hizi acha kuhusisha Wayahudi na takataka yenu ile iliotundikwa pale kama korodani, wewe unashangaa Wayahudi kumpa Sumu mtume wakati hao ndio wamekachapa kale ka Mungu kako bila huruma 😂😂, tena walikatemea na mate Wayahudi wana dharau sana

2.Mohamadi ni mtu makini sana, Yesu hawezi kuwa Mungu hii ni imani ya vichaa 😂😂😂Mungu hawezi tembezwa mtaani na kachupi, hata mwenyekiti wa mtaa tu hawezi fanyiwa hivyo, nyie watu akili zenu hazipo sawa hata kidogo, baba yako mzazi nyumbani huwezi kumjibu vibaya, halafu Mungu wa ulimwengu aje apigwe na wayahudi kweli? 😂😂😂 kwa kweli ni vichekesho

3.Mungu amesha weka kila kitu baada ya kuumba kila, Mungu sio wa kupigwa kama
Mandonga muwe na adabu nyie 😂😂😂

4.Mungu hawezi kufanya vitu vya kipuuzi, nyie ipo siku mtakuja kusema Mungu wenu kaja duniani kutiwa Mimba, maana hamna adabu na Mungu, mna muhusisha Mungu na maujinga yenu, eti Mungu kapigwa mikuki 😂😂😂aiseeee

5.Unaona wivu na 12 😂😂😂Selemani alikuwa na 700, wewe huna nguvu za kiume ndio maana una mwanamke mmoja

6.Akili=Akiri sasa ulitaka tutembea na mavi tusijisafishe? sisi tunakunya kama huyo Mungu wako alietundikwa 😂😂😂unataka binadamu asitoe haja kubwa, hata Yesu alikuwa anakunya na kuchamba, ndio maana nakwambia wewe huna akili kuwa na Mungu ambaye ni kiumbe mwenzako, njoo kwa Allah Mungu wa kweli ambaye sio kigeugeu 😂😂
 
Quran inasema Muhammad ndio muislam wa kwanza,au inasema uongo😂😂
Imesema ukweli kabisaa, muislamu wa kwanza kwenye ummah wake, ndio maana mtoa mada akaja na andiko la Yakobo pia alikuwa Muislamu kwenye ummah wake n.k, tuliza kichwa uliza maswali kama haya upate majibu mujarabu 😂😂sio kukumbatia yule Mungu aliechezea vitasa
 
Embu leta andiko Muhammad akidai kwamba yeye alikuwa muislam wa kwanza tu kwa umma wake.
 
1.Wayahudi walimwambia Pilato wana mfalme mmoja tu nae ni Caesari, yule Yesu alikuwa sio mfalme wao kwahiyo apigwe msalaba, yaani wameshandwa kuamini ufalme wake waje kuamini Uungu!
😂😂tena hapa unaonyesha kwamba ni kwa namna gani una akili duni wacha nikupe lecture kwa kifupi.
herode toka Yesu akiwa mdogo aliagiza auawe akiamini huyu ni mfalme wa kiutawala kama yeye,haikuwa hivyo,Yesu hakuwa anasemewa ufalme huo.
ndio maana hata mashitaka yalikuwa tata kuamua kwa pilato hakuona kosa kwake😆.
huko kwenye Uungu sasa ndio kuna balaa,unajua nini kilitokea baada ya kufa kwake???
soma biblia ukiwa hujavuta bangi utafurahi.
!😂😂 hizi bangi za wapi hizi acha kuhusisha Wayahudi na takataka yenu ile iliotundikwa pale kama korodani,
Yesu msamehe papai huyu,hana cha kupoteza,amekata tamaa maana hana tumaini kutoka kwa mtume wake wala mungu wake wa uzinzi na ukahaba,Amen😂😂
wewe unashangaa Wayahudi kumpa Sumu mtume wakati hao ndio wamekachapa kale ka Mungu kako bila huruma 😂😂, tena walikatemea na mate Wayahudi wana dharau sana
tatizo mtume wa mnyaazi Allah kafa kifala sana,tena sumu imewekwa na mwanamke,sio wanaume miraba 7 walioshika mikuki na fimbo😂😂,hapa ndio naona Tume la kupaka hakika hakuwa na msaada wowote zaidi ya maruweruwe yake tu kule pangoni😂😂
2.Mohamadi ni mtu makini sana,
mtu makini asijue mtoto wa miaka 6 na mwanamke mtu mzime wana tofauti gani??
😂😂neno umakini huko misikitini lina maana nyingine??
Yesu hawezi kuwa Mungu hii ni imani ya vichaa 😂😂😂
Wewe,Allah na Muhammad mnatamani hivi ila ndio imeshakuwa sasa,hatuna cha kuwasaidia😂😂
Kwahiyo asingepigwa angekuwa Mungu🤣🤣🤣
QURAN inasema haya yote hayakutokea,je ni kwa sababu Yesu hakuruhusu kwa satatus yake🤣🤣🤣

Usijibu tu kama unabingirika,kuwa mtulivu.
3.Mungu amesha weka kila kitu baada ya kuumba kila, Mungu sio wa kupigwa kama
Mandonga muwe na adabu nyie 😂😂😂
Sawa kabisa ndio maana Quran inasema Yesu hakupigwa🤣🤣🤣,maana inaamini Mungu hawezi ruhusu.
4.Mungu hawezi kufanya vitu vya kipuuzi, nyie ipo siku mtakuja kusema Mungu wenu kaja duniani kutiwa Mimba, maana hamna adabu na Mungu, mna muhusisha Mungu na maujinga yenu, eti Mungu kapigwa mikuki 😂😂😂aiseeee
Sasa hakuja kutiwa mimba tutasemaje???😂😂
Tunasema ambayo alikuja akayafanya.
5.Unaona wivu na 12 😂😂😂Selemani alikuwa na 700, wewe huna nguvu za kiume ndio maana una mwanamke mmoja
kuwa na wake wengi sio dalili ya nguvu bora za kiume😂😂,ni dalili ya uhayawani.
Ndio maana huwa mnafananisha majogoo au madume ya ng'ombe🤣🤣
6.Akili=Akiri sasa ulitaka tutembea na mavi tusijisafishe?
Kutembea na mavi ni mtazamo tu,maana mavi hayajawahi kwisha mwilini,hata ukigusa mkundu wako na kidole baada ya kuutawadha kabla hujaingia msikitini,lazima uukute na huo uchafu😁😁
sisi tunakunya kama huyo Mungu wako alietundikwa 😂😂😂unataka binadamu asitoe haja kubwa,
Ila hamuwezi hata kufufua nzi,achia mbali kufufuka na kusamehe dhambi😂😂😂
hata Yesu alikuwa anakunya na kuchamba, ndio maana nakwambia wewe huna akili kuwa na Mungu ambaye ni kiumbe mwenzako, njoo kwa Allah Mungu wa kweli ambaye sio kigeugeu 😂😂
Anawezakuwa sio kigeugeu ila msahaulifu,si unakumbuka alimtuma jibril bila kumpa wasifu wa kipenzi chake🤣🤣🤣
Jibril hakujua kama Muhammad shule hakuna.
Na akasahau pia kumkumbusha ajitambulishe kwa majina yake.
Mwamba kufika akaona wacha nimkabe fala huyu🤣🤣🤣🤣
 
Embu leta andiko Muhammad akidai kwamba yeye alikuwa muislam wa kwanza tu kwa umma wake.
Quran imeshakwambia wakina Yakobo, wakina Ibrahim wote walikuwa waislamu, Mohamadi alikuwa muislamu sasa unauliza swali gani tena 😂😂😂hapa maana yake kila mmoja alikuwa muislamu kwa ummah, umeishia maswali?
 
😂😂😂,kaka nashukuru kama umeikosa sehemu ilipoandika kwamba Alikuwa muislam wa kwanza tu kwa umma wake.

Hii mada tuishie hapa.
 
Sasa km yeye alikuwa muislam, inatuhusu nini sisi??
 
Quran imeshakwambia wakina Yakobo, wakina Ibrahim wote walikuwa waislamu, Mohamadi alikuwa muislamu sasa unauliza swali gani tena 😂😂😂hapa maana yake kila mmoja alikuwa muislamu kwa ummah, umeishia maswali?
😂😂😂,kaka nashukuru kama umeikosa sehemu ilipoandika kwamba Alikuwa muislam wa kwanza tu kwa umma wake.

Hii mada tuishie hapa.
 
1.Pilato ndio alitaka kumuachia Yesu kwa kumchapa bakora tu ila Wayahudi ndio walikataa wakamwambia ASULUBIWE, kwasababu wao wayahudi wanamtambua mfalme mmoja tu kwa wakati ule nae ni Caesari, ebu tulia wayahudi hawausiki na hiyo imani yako ya kipuuzi acha kuwahusu, kama walimkataa tu kuwa mfalme unaleta porojo hapa eti akubali uungu wake 😂😂😂nimekwambia hao ni wayahudi wa Buza kama wewe

2.Yesu aliepigwa kama kibaka hamsemehe nani?😂😂😂Mungu mpuuzi mimi wa nini, mimi Mungu wangu Allah hakuna kima wa kumsogolee achilia mbali kumpiga makofi kama Yesu

3.Quran iko wazi Yesu ni kiumbe kama viumbe wengine, aliekuwa anakunya mavi kama wewe hausiki na Uungu wa namna yeyote, huo upuuzi wako baki nao mwenyewe

4.Selemani alikuwa na wanawake 700, Yakobo alikuwa na wake wawili na wajakazi wawili, Wewe huna nguvu za kiume ndio maana una angaika na mwanamke mmoja, wacha wenye nguvu tuzitumie 😂😂

5.Mavi yapo mwilini si tunakula, hata Yesu Mungu wako ashakunya sana tu maana mavi alikuwa nayo 😂😂😂 , kutawadha hakuna uhusiano na kunya, kwani kila anaekwenda kuswali lazima anye?? halafu acha kushangaa waislamu kunya wakati Mungu wako alikuwa anakunya vizuri tu 😂😂😂😂😂

5.Allah aumbe kila kitu ashindwe kufufua? 😂😂😂😂mnadanganya tu eti kufufua , ndio maana kwa ujinga huo mnalazimisha kiumbe mnya mavi kuwa Mungu

6.Allah sio yule Mungu wako anaejua kuwa Nyoka anaweza kula vumbi, Allah amenyooka anajua yeye ndio muimbaji hakuna wa kumsumbua huko aliko akisema jambo linakuwa haitaji kuoigwa Makofi ili jambo lake liende 😂😂😂yaani kuna Mungu mjinga hadi apigwe makofi ndio jambo lake liende 😂😂😂😂mnasikitisha sana nyie waabudu kiumbe mwenzenu
 
Ehe kwa akili zako unadhani kwanini walisema asulubiwe???unajua nakupenda kwa sababu unaandika jambo ambalo dkk 2 mbele linakufunga wewe mwenyewe.😂😂😂

2.Yesu aliepigwa kama kibaka hamsemehe nani?😂😂😂Mungu mpuuzi mimi wa nini, mimi Mungu wangu Allah hakuna kima wa kumsogolee achilia mbali kumpiga makofi kama Yesu
Yesu msamehe huyu papai,wewe ni mwingi wa rehema,umuongoze ktk kujua kweli,si katika upotofu aliomeza toka akiwa kichanga mdogo asiyejua kitu,mpaka kawa mtu mzima.
Amen.
3.Quran iko wazi Yesu ni kiumbe kama viumbe wengine, aliekuwa anakunya mavi kama wewe hausiki na Uungu wa namna yeyote, huo upuuzi wako baki nao mwenyewe
Usiwe na hasira kaka😅😅.
watu watakuwa wanakuacha na matatizo yako,sababu muda wote unakuwa umechanganyikiwa😂😂
4.Selemani alikuwa na wanawake 700, Yakobo alikuwa na wake wawili na wajakazi wawili, Wewe huna nguvu za kiume ndio maana una angaika na mwanamke mmoja, wacha wenye nguvu tuzitumie 😂😂
sasa nguvu za kiume ntakuonyeshaje mtandaoni kaka😂😂.
Kaka katawadhe ukaswali,naona sukari imefika juu😂😂,hii mitandao tu.
5.Allah aumbe kila kitu ashindwe kufufua? 😂😂😂😂mnadanganya tu eti kufufua , ndio maana kwa ujinga huo mnalazimisha kiumbe mnya mavi kuwa Mungu
😁😁😁sio ujinga kufufua ni swala zito,ndio maana si Allah wala hakujaribu kumpa idhini hiyo Muhammad maana hana.
6.Allah sio yule Mungu wako anaejua kuwa Nyoka anaweza kula vumbi,
Ila ni huyu anayesema Jua linazama kwenye tope😂😂
Sperm zinatoka ktk uti wa mgongo😬😬😬
Allah amenyooka anajua yeye ndio muimbaji
Ameimba nyimbo nyingi sana,QURAN yote ile ni nyimbo😂😂😂
Hapana Allaha hawezi kufanya jambo lolote mpaka liwe linaeleweka na waislam kwanza,kama tu kupata mtoto ikiwa waislam hawaelewi njia zake basi hapati😂😂😂
 
1. Janja janja imeisha wayahudi ndio walitaka apigwe ubao pale msalabani, mfalme wao ni Caesari, hawana muda nae maana wanajua ni kiumbe tu kama wewe, ila wewe myahudi wa buza ndio una muona mkata gogo kama wewe ni Mungu 😂😂😂shida ya kiakili hii

2.Yesu huyu aliepigwa kama kibaka 😂😂😂hivi wewe jamaa kichwani ziko sawa kweli? yeye mwenyewe kapigwa kama mwizi halafu mimi nishindwe kutulia kwa Mungu wangu mwenye heshima zake Allah, niangaike na Mungu wako komando kipensi

3.Mwanaume aliekamilika hawezi kuwa na mwanamke mmoja wewe huna shida 😂😂😂😂😂 wewe Selemani alikuwa na 700, wewe unakuwa na mmoja si shida hiyo, jikaze wewe

4.Allah sio Mungu wa kupigwa makofi wewe, ni Mungu wa heshima na mwenye hadhi, amesha umba kila kitu kinakwenda atakavyo yeye, sasa aje apigwe makofi ili iweje !!!😂😂😂ujinga tu

5.Sasa unataka awe kama yule Ambaye alipata wenge akaanza kuwatafuta wakina Adam bustanini 😂😂😂😂 Mungu ana wenge anaanza kuuliza mko wapi?muwe mna mpa mchicha aone vizuri, kwa kweli ndio maana NYOKA anakula VUMBI sasa sijui ni la CONGO😂😂

6.Ndio Allah hataki ujinga eti kisa hana baba kuna punguani wanafikiri Mungu ndio katia mbegu zake, Allah akajibu anaumba atakavyo kama ambavyo alimuumba Adam, huyo ndio Allah Mungu mwenye hadhi sio yule aliepigwa kama Mandonga😂😂😂
 
😂😂😂,kaka nashukuru kama umeikosa sehemu ilipoandika kwamba Alikuwa muislam wa kwanza tu kwa umma wake.

Hii mada tuishie hapa.
Niikose nini ? nimeshakwambia mimi ndio mtaalamu Uislamu umenyooka sana, TULIA UPEWE DAWA
1. MUSA ALIKUWA MUISLAMU
HAPA anazungumza na Ummah
10:84 QURAN
Na Musa akasema “Enyi kaumu yangu! ikiwa nyinyi mumemwamini Mwenyezi Mungu, basi mtegemeeni Yeye kama nyinyi ni Waislamu kweli “

2.NDIO MAANA nikakwambia Mohamadi ni wa kwanza kwa Ummah wake kwasababu kila ummah ulikuwa na mtume wake

QURAN 10:47
Na kila Ummah(ulikuwa) una Mtume. Basi anapofika mtume wao huhukumiwa baina yao kwa uadilifu; nao hawadhulumiwi

Sehemu nyingi Quran imethibitisha mitume wengi walitumwa kabla yake Mohamadi na walikuwa waislamu, hivyo marufuku kuhusisha mitume ya zamani na upagani maana najua hamna maandiko ya Dini zao HAMNA 😂😂😂😂
 
Sasa uislamu wa Yakobo unatuhusu nini Wakristo? Mbona hata makabila yetu na utaifa wetu ni tofauti..?
 
Nimekuuliza walisema asulubiwe kwa makosa yapi???
Mbona kelele nyingi maswali hujibu😂😂.
2.Yesu huyu aliepigwa kama kibaka 😂😂😂hivi wewe jamaa kichwani ziko sawa kweli? yeye mwenyewe kapigwa kama mwizi halafu mimi nishindwe kutulia kwa Mungu wangu mwenye heshima zake Allah, niangaike na Mungu wako komando kipensi
Quran inasema hakupigwa maana kweli Allah hawezi kubali kupigwa😂😂😂
3.Mwanaume aliekamilika hawezi kuwa na mwanamke mmoja wewe huna shida
Huna=una.
😂😂😂😂😂 wewe Selemani alikuwa na 700, wewe unakuwa na mmoja si shida hiyo, jikaze wewe
hamna shida kabisa ngono sio chakula mkuu,ni faraja ya wapumbavu😂😂
4.Allah sio Mungu wa kupigwa makofi wewe, ni Mungu wa heshima na mwenye hadhi, amesha umba kila kitu kinakwenda atakavyo yeye, sasa aje apigwe makofi ili iweje !!!😂😂😂ujinga tu
ndio maana Quran ikagoma kabisa Yesu kupigwa😂😂
Kwamba manii zinatoka mgongoni hakika Allah ni mwanasayansi wa kwanza😂😂😂😂
6.Ndio Allah hataki ujinga eti kisa hana baba kuna punguani wanafikiri Mungu ndio katia mbegu zake,
kwani mbegu ya kwenda mariam ilitoka wapi mkuu,au sasa unabisha kwa kutumia kobaz😂😂😂😂
Allah akajibu anaumba atakavyo kama ambavyo alimuumba Adam
Sisi hatuna shida,ndio maana tunajua kabisa Mungu ni wa maajabu,hapo juu unakataa mbegu hazikutoka kwa Allah😂😂😂
huyo ndio Allah Mungu mwenye hadhi sio yule aliepigwa kama Mandonga😂😂😂
Ana hadhi gani kama kashindwa kumpa hadhi ndogo tu mtume wake??aishi maisha ya heshima anaishi kama mbwa😂😂😂
 
Unazunguka sana mkuu,kasome tena swali.

Usijichoreshe😂😂😂

Muhamaad ameagizwa aseme wazi kwamba yeye ni wa kwanza kati ya wenye kusilimu,haikuongeza popote kwamba kwa umma wake,wewe unaiongezea maneno Quran.
Dini ni njia mkuu,labda kama hujui,kusema mussa aliwauliza kama kweli wao ni waislam huu ni uzishi mkubwa sana kutoka ktk Quran😃😃

Labda Allah alisahau na hili pia wewe umkumbushe.
 
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Hapo kwenye bold inazidi kuthibitisha namna kitabu chenu kilivyo na utata!
Hapo ni moja ya sehemu nyingi zenye uongo kabisa!
Quran imekuja wakati wa mohamed, na hawa wazee walikuwa na Masinagogi yao (hadi leo)
Yaleyale ya bikra 72 ndio hayahaya
 
1. wayahudi wakajibu tunayo sheria lazima AFE kwa kuwa amejifanya Mwana wa Mungu 😂😂😂😂 ASULUBIWE hata wayahudi wako na Allah Mungu wa viwango kabisa Ujinga ule wa kufikiri Mungu anaweza mtia mtu mimba wameukataa, na wao ndio WAKASEMA ASULUBIWE unafikiri tuna bahatisha hapa Kasome YOHANA akili ikukae sawa

2.Quran imesema hakupigwa, hakufa wala hakufufuka, imesema tena ni kiumbe anaekunya mavi kama wewe hapo sio Mungu, ajabu bado wewe na akili zako mbovu Unaangaika na huyu Mungu wako alietemewa mate kama takataka zinazo nuka 😂😂

3.Allah ni mwanasayansi, hawezi hata siku moja kuandika kuwa Nyoka anakula vumbi 😂😂😂 au kupata wenge mpaka asiwaone watu kwenye vichaka wakina Adam , anaanza kuuliza mko wapi nyie, aibu tupuuuu 😂😂😂

4.Mungu haitaji mbegu yeye anapotaka jambo huliambia kuwa nalo linakuwa huyo ndio Allah, kwani Adam alimuumba kwa mbegu gani? au Hawa aliumbwa kwa mbegu gan?😂😂😂unawaza mbegu ndio maana unaamini kiumbe aliekuwa anakojoa kama wewe ni Mungu 😂😂😂

5.Mtume kaishi maisha ya heshima kabisaa wala sio kuburuzwa mitaani kama kibaka, 😂kwahiyo ulitaka mtume wetu atundikwe kama Korodani pale msalabani kama yule Mungu wenu ndio ujue kaishi vizuri?😂😂😂huo ujinga kafanyiwa Mungu wenu asie na akili sawasawa
 
Umeishiwa HOJA unapuyanga 😂😂😂maandiko ya kila mtume wa Ummah wake nimetoa kwahiyo Mohamadi alikuwa wa kwanza kwa ummah, na maandiko ya mitume wengine kama Musa ,Ibrahim n.k nimetoa kuonyesha pia kabla yake waislamu walikuwepo, wewe kinacho kutesa HUNA andiko la kuonyesha DIni ndio maana unapuyanga tu 😂😂😂😂😂
 
Hapo kwenye bold inazidi kuthibitisha namna kitabu chenu kilivyo na utata!
Hapo ni moja ya sehemu nyingi zenye uongo kabisa!
Quran imekuja wakati wa mohamed, na hawa wazee walikuwa na Masinagogi yao (hadi leo)
Yaleyale ya bikra 72 ndio hayahaya
Hii hoja yako ni dhaifu wewe unajua kuwa kuanzia Adam, Nuhu, Ibrahim hakuna alieandika kitabu mpaka alipofika Musa? kwahiyo kuja sio Hoja wewe lete andiko kulingana na mada, sasa Bikra 72 zina shida gani ikiwa Selemani aliishi muda mfupi tu na alikuwa na wanawake 700? Nenda kasome kama hujui kitu wewe
 
A
Aliingiaje kwenye uislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…