Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

we mgumu sana kuelewa, nadhani ulichosema ni kweli kwamba ili uwe muislam ubongo wako wote unatakiwa kupakuliwa na kuwekwa hewa, hauna uwezo kufikiri na siwezi kupoteza muda kuendelea kujadili na mtu kama wewe.
Huna andiko zaidi ya kuropoka, siku nyingine usipinge andiko kwa porojo, mimi siwezi kujadili majina ya vitabu nataka andiko
 
😂😂😂😂Umeongea ukweli kabisa
 
Utopolo wa watu wa dini bana. Hivi hao watu waliokuwepo kabla ya dini zenu kwanini mnawalazimisha wawe waumini wa dini zenu bila ridhaa zao? Mnahofia nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uko sahihi sana. Watu wa dini wapumbavu sana kila kitu wanataka kulazimisha kiwe cha dini zao za mchongo.
 
Shidà utakayokumbana nayo ni kwamba unatumia kitabu au maandiko ambayo wao wenyewe hawayaamini kuwa ni maandiko ya Mungu.
Ni sawa na wao watumie maneno wanayoamini wao kukuaminisha wewe.
 
Kama unadhani huo ndio ushahidi uko na shida.
Mfano.
1.Nani anaamini kuwa aya hiyo inatoka kwa Mola?
2. Mpangilio wa unapoanza na Ibrahim unafuta mwanae nayefuata
Aidha useme Ibrahim , Is-aqa , Yakub au useme Ibrahim Ismail Yakub , japo Yakub sio mtoto wa Ismail. Aya imechakachuliwa hiyo
 
Kwani uislamu wa Yakobo unawahusu nini wakristo.
Wakristo maana yake ni wafuasi wake kristo na sio Yakobo. Au mi sijamuelewa mtoa mada
 
Ibrahim, Ismaili, Isihaka, Yakubu, Musa , Isa na Muhammad wote waliamini Mungu mmoja na walifundisha na kuamrisha watu waamini Mungu Mmoja naye anajulikana kama El, Eloah, Eloi, Elah, Allah kwa kwa lugha za semetic.
 
Yaan bado mna edit tu!!! Ulishawahi kuon Mkristo, akijaribu kupamabana kujifananisha na waislamu. Nyie mara Ohh Yesu alikuwa Muislamu, ohh Manabii wa zamani ni waislamu. Mnahangaika weeeee lakini wapi hamuwezi kubadilisha chochote. Muhamad wenu kachemsha na roho yake ya Mpinga Kristo.
 
Kristo ni neno lunalotokana na neno la kigiriki χριστός (chrīstós) lenye maana ya kuwa mpakwa mafuta, asili ya neno ni Mesiah na ni kiibrania na kiarabu ni masih, hakuna muislamu mwenye kupinga kuwa Yesu siyo Mesiah, Masih au Kristos, bali wayahudi ndiyo ni wapingaji wakubwa kuwa hawaamini kuwa Yesu ndiye Mesiah, mpaka leo hii wanaamini kuwa Mesiah hajafika wanamsubiria.
 
Mungu hakuweka dini duniani aliweka ufalme chini ya Adamu.Baada ya Adamu kuanguka Akamtuma mwanae kumrejesha binadamu tena Akisema yeye ndiye njia,na kweli na uzima binadamu hatamwona Mungu ila kwa njia ya Yesu(yoh 14:6)
 
😂😂 Mbona mmnatikia kinyongeee pombe iitakuepo mnyaazi ndo kasemaa.inaonekana hao waamin kama hawaamin vile hlo somo
Pombe ni kinywaji kama una kampuni yako huwezi kuruhusu wafanyakazi wako wanywe kazini, lakini wakiwa makwao ni rukhsa, hivyo hapa duniani pombe si ruhusa kunywa lakini kwenye maisha ya milele pombe itapatikana tena ile yenyewe isiyoumiza kichwa, siyo gongo la jero.
 
Spingan nawewe kabisa ila hao waamin nahsi walihitaj mtu kama wewe awafafanulie syo hyo anawaambia tu itakuepo. Ndomana kama walipata wasiwasii.insh mwitikio wa waamin
 
Kiswahili ni Sura ya ng'ombe jike rangi ya manjao-Surah Al-Baqarah Ayat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…