Na walevi wamoo!!Ni wanywaji tu hao....
[emoji19] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aah!wapiii!!nawaonea uruma kweli wasikuonjwa pombe maana kama nawaona mnavyotuonea donge na gere 12 yako tu nazungusha vya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] basi naongeze kutoka 12 had 50 tuoge kabisa biaa[emoji19] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aah!wapiii!!
Ijayo ya ile au hii?Weekend ijayo au?
Ile inayokujaIjayo ya ile au hii?
Jumamosi eeh?!!Ile inayokuja
Ogeni na mdibwe sie twanya soda[emoji23] [emoji23] basi naongeze kutoka 12 had 50 tuoge kabisa biaa
EehJumamosi eeh?!!
soda kisukari shauri yenu[emoji482]Ogeni na mdibwe sie twanya soda
Maji yatosha na azam embesoda kisukari shauri yenu[emoji482]
Poa maana j2 nna send off!!muambie mashauzi aache shunie
tatizo nini si ikikuua hulipi!
hahahahahahaha we jamaa bana mambo mengine vunga na sio kuumbuana iviHii picha ina miaka mitatu!!! Hilo gazeti liliandika habari za udanganyifu hazina kitambo saana
Hii ni pombe ya gharama?Tunaokunywa pombe za gharama kazi tunayoView attachment 823671
hmmmmm.....bei ikishuka mnajifanya kukataa ofa sio vizuri[emoji23] [emoji482]Maji yatosha na azam embe
[emoji23] [emoji23] hapana miye sinywii tuhmmmmm.....bei ikishuka mnajifanya kukataa ofa sio vizuri[emoji23] [emoji482]
[emoji23] [emoji23] hapana miye sinywii tuhmmmmm.....bei ikishuka mnajifanya kukataa ofa sio vizuri[emoji23] [emoji482]