Huree kuanzia kesho bia buku....

Hahahhaha hapo ndio safi mkuu,, ukiwa na buku ten unakunywa unabakisha na ya bodaboda
Tatizo castle laga shingo nene baridi zikianza kupanda kichwani halafu unahela ya kutosha mfukoni, kutoa ofa si shida!

Hapa ndipo sipapendi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…