Hivi yule kiongozi wa BAWACHA Aliedai alitekwa, akateswa na kudhalilishwa huko kwenye misitu kibiti anaendeleaje kwasasa makamanda?
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone haraka.
Nimewiwa kumjulia hali tu kwakweli, my friends, ladies and gentlemen π
Mungu ibariki Tanzania.