Huruma Katika Vita: Msaada wa Rwanda kwa Wanajeshi wa Kongo

WashaHost

Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
27
Reaction score
36
Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia.

Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to Rwanda, who were casualties of the war. Yesterday, they were provided with food, water, and juice. Despite everything, they show no anger or resentment toward what their government has said about them.

IMG_0081.jpeg
 
View attachment 3216496
Kagame ni muhuni sana anajifanya mjanja wakt ni mjjnga sna hao ni wakongo anaowalea yeye mwenyewe kawapa silaha wapigane walipoona moto mkali wakakimbia rwanda kujifanya wanaomba msaada na anapga picha kwamba anawasaidia ili kuficha mabaya yake ktk umoja wa mataifa aonekane yeye mwema jingasana hili jamaa leo wakongo wamechoma moto ofisi za ubalozi wa rwanda na magari yao yote kgme aache unafiki na ninavyoone mwisho wake umekaribiA.
 
Kagame yupo sana
 
Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia.

Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to Rwanda, who were casualties of the war. Yesterday, they were provided with food, water, and juice. Despite everything, they show no anger or resentment toward what their government has said about them.

View attachment 3216496
Wanawajibu wa kufanya hivyo. Mara zote wanyarwanda walipopigana wenyewe kwa wenyewe majirani zao walipokea wakimbizi na kuwahifadhi.
 
Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia.

Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to Rwanda, who were casualties of the war. Yesterday, they were provided with food, water, and juice. Despite everything, they show no anger or resentment toward what their government has said about them.

View attachment 3216496
Propaganda iliyojjaa ujinga, ushenzi na upumbavu
 
Back
Top Bottom