Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

Gentleman96

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
912
Reaction score
1,670
DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ...............
(retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi.
..
Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana walichangamka na kupata deal kisha wakaingia mtaani kwenye mvua na jua, walijua watapata malipo siku ya mwisho wamepigwa njenje. Walitakiwa kulipwa 20k kwa siku na wamefanya siku 30. Hivyo 15×20= 300,000/= Lakini wamelipwa 240,000/=

WATU WAMEJUTA KUFANYA KAZI HIYO... HASA WILAYA YA MBARALI WATU WAMEDHURUMIWA... Naomba waziri CHUNGUZA WILAYA HIYO... RETWEET KWA AJILI YA FAIDA YA TAIFA LAKO​
 
 
15×30 kivipi sasa wakati umesema walitakiwa kulipwa 20k.?
Anyway hata waalimu pia huko Mwanza walipigwa za uso na KAZI IENDELEE.
Mchepuko anaupiga mwingi huko Washington DC.
 
Kwanini msiandike malalamiko yenu kwa sipika kwani hujui ni mbunge wa huko kwenu?
 
15×30 kivipi sasa wakati umesema walitakiwa kulipwa 20k.?
Anyway hata waalimu pia huko Mwanza walipigwa za uso na KAZI IENDELEE.
Mchepuko anaupiga mwingi huko Washington DC.
Rais wa nchi unamwita mchepuko!!?
This is too much.
 
Wenyew wa halmashauri wanasema kila mtu anakula kazin kwake
 

 
Rais wa nchi unamwita mchepuko!!?
This is too much.
Ungemuuliza kwanini kasema hivyo..mana kuna wengine wazee wetu humu..kama.kunammoja alisema sa100 ni dada manake walicheza naye utotoni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…