Huruma ya Watanzania kwa viongozi wao sasa hivi ni 0%

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe Lwota, pamoja na Mnec, Mwita Gachuma, wamejeruhiwa baada ya Gari waliyokuwa wamepanda wakielekea Kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, Eneo la Gesarya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kuacha njia na kupinduka.


Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtabi amethibitisha uwepo wa ajali hiyo na kudai hali za majeruhi zinaendelea vizuri.

Kituko wala sio ajali basi ni majibu ya watu mtandaoni huko, patience ya watanzania haswa kwa viongozi ni 0% kabsa.


Au sio?


Hatari sana


Mungu tusaidie sana!
 
We ni zero brain
 
Ndo tulipofkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…