Huruma ya Watanzania kwa viongozi wao sasa hivi ni 0%

Huruma ya Watanzania kwa viongozi wao sasa hivi ni 0%

Sasa kama kiongozi anadiriki kabisa kusema hadharani kama unaona basi tunafaidi na wewe ungesoma uwe kiongozi unatazamia watu watasema nini, wengi wana mengi vinywani ila wanahofu tu hasa kwa yanayoendelea.
 
Dhana ya upendo ni reciprocal, inapaswa iwe kama msumeno unaokata kotekote, kama viongozi wanawapenda wananchi wao, basi hapana shaka na wananchi nao watawapenda viongozi wao, lakini kama viongozi hawawapendi wananchi wao na wanajipenda wao wenyewe ni dhahiri wananchi nao kamwe hawatawapenda viongozi wao na watawaombea na watawatakia mabaya.
 
Back
Top Bottom