Huruma ya Watanzania kwa viongozi wao sasa hivi ni 0%

Huruma ya Watanzania kwa viongozi wao sasa hivi ni 0%

Kuna madau kaandika hivi
"Wamejeruhiwa tena, wakati mwingine malaika mtoa roho anakuwa wapi jaman au anapokea rushwa? Nataka kusikia taarifa za kifo si majeruhi ITV leteni habari upya hii taarifa sijaipenda kabis"
 
Siku hizi mkuu wa wilaya na mkoa wanateuliwa kwa merits za ukada wa chama, hawa ni wanachama hai wa ccm, wanaompigania raisi na maslahi yake mikoani na wilayani.
Wanapgania chama hawa na wakurugenzi
 
Mkuu pima upepo wa utawala kwa awamu zote zilizopita.

Ukiona viongozi wa kati na wa chini wanapendwa ni ishara ya kukubalika kiongozi mkuu.

Ukiona viongozi hao wanapita mahali na kuzomewa ni ishara tosha kuwa 'top layer' haifai na ndiyo anayezomewa.
Kwahiyo nani wa kulaumiwa?,. Au ni viongozi wote tu
 
Viongozi waliopo hawana uhalali wa kisiasa kwa sababu hawakushinda uchaguzi wale waliopendwa na wananchi wamedhulumiwa haya ndio matokeo
 
Hili nalo ni tatizo,. Wako kwa maslahi yao binafsi lakini nani anapaswa alaumiwe?,. Maana ukute viongozi wengine waliteuliwa tu
Waliteuliwa ili wasiwajali wananchi? Tusiangalie nani kaipata vipi position aliyonayo, ila tuangalie anayoyafanya yanareflect vipi kwa raia.
 
Waliteuliwa ili wasiwajali wananchi? Tusiangalie nani kaipata vipi position aliyonayo, ila tuangalie anayoyafanya yanareflect vipi kwa raia.
Kwahiyo nani anapaswa kulaumiwa?,. Au ni viongozi wote tu
 
Ukisoma comments za Facebook na Instagram utaona watu waliochoka 😔
Wajinga na wapumbavu wote kutoka Chama kileeeee wapo huko hivyo ni kawaida tu. Wananchi wanaowapenda viongozi wao na watanzania wengine wapo pomoni Huku mitaani.,..hao ni wale wangese flani wanaochochewa kisiasa na washamba flani. Ni wachache tu maana hawafiki hata 10,000; watanzania wapo mil 65 Sasa. Kuchukiwa na vinyumbu 1000 au 2000 Wala sio big deal kwa watu majasiri km mama Samia. Isitoshe ukijua kuwa ni watumwa tu wa lissu ndiyo kabsaaaaa, haisumbui kichwa.
 
Akili kama za Lucas Mwashambwa hizi! Ewe kada siku yako itafika
 
Back
Top Bottom