Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Nafikiri ni wajumbe wa mkutano mkuu na halmashauri kuu za chama hichoKwa nini mkuu wa wilaya anaenda kumpokea makamu mwenyekiti wa CCM?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri ni wajumbe wa mkutano mkuu na halmashauri kuu za chama hichoKwa nini mkuu wa wilaya anaenda kumpokea makamu mwenyekiti wa CCM?!
Siku hizi mkuu wa wilaya na mkoa wanateuliwa kwa merits za ukada wa chama, hawa ni wanachama hai wa ccm, wanaompigania raisi na maslahi yake mikoani na wilayani.Kwa nini mkuu wa wilaya anaenda kumpokea makamu mwenyekiti wa CCM?!
Wanapgania chama hawa na wakurugenziSiku hizi mkuu wa wilaya na mkoa wanateuliwa kwa merits za ukada wa chama, hawa ni wanachama hai wa ccm, wanaompigania raisi na maslahi yake mikoani na wilayani.
Hili nalo ni tatizo,. Wako kwa maslahi yao binafsi lakini nani anapaswa alaumiwe?,. Maana ukute viongozi wengine waliteuliwa tuViongozi wanawapenda raia?
Yaani hili ni tatizoViongozi wenyewe hawapendi raia.
Kwahiyo nani wa kulaumiwa?,. Au ni viongozi wote tuMkuu pima upepo wa utawala kwa awamu zote zilizopita.
Ukiona viongozi wa kati na wa chini wanapendwa ni ishara ya kukubalika kiongozi mkuu.
Ukiona viongozi hao wanapita mahali na kuzomewa ni ishara tosha kuwa 'top layer' haifai na ndiyo anayezomewa.
Heeey🤒🤒,. Punguza ukali wa maneno basiUnaweza kumpenda mwizi?
Ni kwasababu viongoze hawajali wala kutumikia interests za raiaHii nchi sijui kwanini raia hawapendi vuongozi
Waliteuliwa ili wasiwajali wananchi? Tusiangalie nani kaipata vipi position aliyonayo, ila tuangalie anayoyafanya yanareflect vipi kwa raia.Hili nalo ni tatizo,. Wako kwa maslahi yao binafsi lakini nani anapaswa alaumiwe?,. Maana ukute viongozi wengine waliteuliwa tu
Kwahiyo nani anapaswa kulaumiwa?,. Au ni viongozi wote tuWaliteuliwa ili wasiwajali wananchi? Tusiangalie nani kaipata vipi position aliyonayo, ila tuangalie anayoyafanya yanareflect vipi kwa raia.
CCMKwahiyo nani anapaswa kulaumiwa?
Mjitahidi basi awamu hii kura zenu ziiondoe madarakani,. Japo hili suala halitakuja kuwezekana naona
Kinachowabakiza madarakani wala sio kura zinazopigwaMjitahidi basi awamu hii kura zenu ziiondoe madarakani,. Japo hili suala halitakuja kuwezekana naona
Basi sawaKinachowabakiza madarakani wala sio kura zinazopigwa
Wajinga na wapumbavu wote kutoka Chama kileeeee wapo huko hivyo ni kawaida tu. Wananchi wanaowapenda viongozi wao na watanzania wengine wapo pomoni Huku mitaani.,..hao ni wale wangese flani wanaochochewa kisiasa na washamba flani. Ni wachache tu maana hawafiki hata 10,000; watanzania wapo mil 65 Sasa. Kuchukiwa na vinyumbu 1000 au 2000 Wala sio big deal kwa watu majasiri km mama Samia. Isitoshe ukijua kuwa ni watumwa tu wa lissu ndiyo kabsaaaaa, haisumbui kichwa.Ukisoma comments za Facebook na Instagram utaona watu waliochoka 😔
Akili kama za Lucas Mwashambwa hizi! Ewe kada siku yako itafikaWajinga na wapumbavu wote kutoka Chama kileeeee wapo huko hivyo ni kawaida tu. Wananchi wanaowapenda viongozi wao na watanzania wengine wapo pomoni Huku mitaani.,..hao ni wale wangese flani wanaochochewa kisiasa na washamba flani. Ni wachache tu maana hawafiki hata 10,000; watanzania wapo mil 65 Sasa. Kuchukiwa na vinyumbu 1000 au 2000 Wala sio big deal kwa watu majasiri km mama Samia. Isitoshe ukijua kuwa ni watumwa tu wa lissu ndiyo kabsaaaaa, haisumbui kichwa.