Sawa wacha nizame pm tuyajenge na Unique heartmzabzab Njoo kuna Mke huku
45 yrs napiga show vyema, mashine inch 8,pombe napiga,calm,phd holder,sina ajira,mzaramo nipo Ubungo kibanguI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 80's. Or 60's.
Karibu PM.
Kinachomharibu huyu dada hako la digrii ka bongo.Vigezo anavotaja kama anaandaa Notice.Ulipokosea kwenye financially stable
Ungemwuti mkutane mtafute pamoja
Mathias Isuja Joseph RIP, alikuwa Askofu mkuu wa Catholic Diocese of Dodoma. Ni mmoja wa maaskofu wakongwe na waliokuwa maarufu nchini.Huyu Isuja yupi mkuu. Ni kama namfahamu Isuja alikuwa headmaster shule fulani hivi.
Kutokuona wewe hakufanyi kuwa hawapoToka nizaliwe cjawah ona mrangi ambaye ni mkristo
Navamanyire vosi avo. Mwenda filipo tabweta sana nee mmpiraBera Bera kwala Mwenda filipo,kwala mikidadi,kwala mwinyi makha !Eri master joji amware Bera Bera huu!!?
Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm.
Mwenda,mwinyi makha,SEBI navareka hara Bereko sec 2006,ni jamaa Jane sana avo!!Navamanyire vosi avo. Mwenda filipo tabweta sana nee mmpira
๐๐ข๐ ๐๐ณ๐จ ๐ง๐ข๐ง๐๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ข๐ฅ๐ ๐ง๐ข๐ค๐จ ๐ฆ๐ข๐ค๐จ๐๐ง๐ข, ๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐ซI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 80's. Or 60's.
Karibu PM.
Tengaa sana,I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 80's. Or 60's.
Karibu PM.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hawa ni wanaume 10 tofauti
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Miaka 29 bado unaweka vigezo ? Msichana ukifikisha miaka 29 mwanaume yoyote anakufaa cha msingi awe anaongea bensi ndani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Muwe mnaweka na picha zenu ili tu-match matarjio yenu na uhalisia wenu. Unaweza ukakuta una sura ya baba, shapeless, una manyoya, usoni, mikononi na miguuni alafu unatuletea vigezo vingi hivyo, msiwe mnatuchosha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiv vigezo utafikiri unaenda kulipwa pesa ukiwa navyo kwa mujibu wa mtoa tangazo kumbe unatakiwa ukawe unam finance!!
Itabidi umcray soilI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.