Husband is needed

Husband is needed

New member. Uko Dar,na umeajiliwa temporaly. Unatafuta mme. Umechezewa weeee,mabaki umeona uwaletee wa JF. Hawakombiii

1. Umechoka na uzinzi? Bidhaa sekendihendi,zilizochakaa hatuhitaji. Bora mpya za kichina
2. Unatafuta mwanaume financially stable.
Huyo humpati. Hesabu wamezishika vizuri. Yupo naemjua,ila nae sharti no moja. Kwenye kila utakachomkuta nacho,utarejesha 50% ya gharama. Ana nyumba,ana gari la kifahari,gharama za kusomeshwa mtapigiana hesabu uone utarudisha ngapi. Siyo unakuja na michupi chakavu tu,af badae unataka mgawane mali
 
Una kadi hai ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Una C ya Basic Maths O-level? Unajua kupika vizuri chapati za kusukuma? Utaweza kuwa mtiifu hata kwa maagizo usiyoyapenda?

Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na nina sifa zote unazozihitaji hasa hiyo ya "Financial stable"
Jichanganye. Si kasema anatafuta mme. Ina maana alimpoteza. Sasa we kijana,unaenda wapi!
 
financially stable huku mwenyewe umeigika, anza kwanza kuwa nawewe financially stable halafu utafute mwenzio wakufanana.

kama umepigika tafuta aliyepigika mwenzio.
Anatafuta pa kujishikiza,akishaweka mambo yake sawa,ataendelea na safari. Sema tu hatujui anaelekea wapi. Bonge si bonge.
 
Warangi mabinam zangu,usiache kunialika kwenye ndoa mambo yakiwa ya motoo,Ila tu kuwa makini humu pia kuna mahayawani nadhani umeshayaona kwenye comments #Kila lakheri
 
Wewe binti mtafuta mume kuna maswali nimekuuliza kwenye comment namba 114 lakini haujibu... uko serious wewe?
Sina kadi ya chama Cha mapinduzi.
Nina B+ ya Mathematics O level.
Chapati za kusukuma nimejifunza ila bado sijazipatia kuzipika lakini vyakula vingine eg Pilau, la kwangu ni tamu hujawahi kula ever in your life. Maagizo nisiyoyapenda naweza kuyatimiza lakini yawe yanamake sense in my head. Nikichekecha nikaona hayaniingii akilini naweza nisiyafuate 100%.
 
Siyo sogea muishi. Umeshaolewa kote huko umeshindikana,kwa hiyo sogea tuishi,leo hii unaikataa. Haya,wapo tayari. Lakini na wao kigezo mpaka wajilidhishe kuwa unaweza kubeba ujauzito. Uko tayari?
 
New member. Uko Dar,na umeajiliwa temporaly. Unatafuta mme. Umechezewa weeee,mabaki umeona uwaletee wa JF. Hawakombiii

1. Umechoka na uzinzi
2. Unatafuta mwanaume financially stable.
Huyo humpati. Hesabu wamezishika vizuri. Yupo naemjua,ila nae sharti no moja. Kwenye kila utakachomkuta nacho,utarejesha 50% ya gharama. Ana nyumba,ana gari la kifahari,gharama za kusomeshwa mtapigiana hesabu uone utarudisha ngapi. Siyo unakuja na michupi chakavu tu,af badae unataka mgawane mali
Nikitafuta financially stable man simaanishi nataka kuondokana na umaskini wangu kupitia yeye, ila ninaepuka wanaume wanaotegemea wanawake kukamilisha mambo yao.
 
Back
Top Bottom