Husband is needed

Husband is needed

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Screenshot_20231011_063639_Facebook.jpg
 
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.

Karibu PM.
Sister unazingua, masharti mengi sana, eti "usiwe Sharobaro, usiwe brother man, USIWE WA MJINI, usiwe muongeaji, usiwe mgomvi, usiwe mkali, usiwe bonge" unatuonea sister, punguza hizo qualifications utakosa vijana wazuri huko PM.

Kwa hizo qualifications unaonekana unamtafuta "Prince charming" anayepatikana ndotoni tuu.
 
Una kadi hai ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Una C ya Basic Maths O-level? Unajua kupika vizuri chapati za kusukuma? Utaweza kuwa mtiifu hata kwa maagizo usiyoyapenda?

Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na nina sifa zote unazozihitaji hasa hiyo ya "Financial stable"
Chawa kama chawa,lazima uwe vizur kifinancial
 
Unazeeka ndio unakumbuka kua kuna wanaume wa kukuoa? Ujana wako 18-28 yrs ulikula na nani? Nenda kale ukikocheza.
 
Back
Top Bottom