Husband is needed

Husband is needed

I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.

Karibu PM.
Kweli vigezo na masharti vikizinagatiwa mambo huwa yanaenda mrama 🙄
 
Approach yenyewe uliyotumia kuomba husband ni mbaya umekosea mno. Unaomba utadhani we ni mwanaume aliyejifanya mwanamke muhitaji ili kujua response ya watu. Kwanza we ni mwanamke msomi na tayari kuna uzi wenu kuwasu kama wanawake msiofaa kuolewa
 
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.

Karibu PM.
funky anology mke huyu hapa unganisheni nyuzi
 
Umeweka masharti na vigezo vigumu mna kutekelezeka. Huwezi kupata husband wa hivyo asilani. Try to regulate status if you to be married. Huwezi kuumba mwanaume wa kukuoa a hundred percent. Husband material anaweza kuwa hana sifa ulizozianisha lakini ukimkubalia akuo utashangaa ndoa yako kuwa paradiso maisha yako yote
 
Wakuu mkapime uzito kama kweli mnakubalika, yaani uzito ni moja ya vigezo😅😅
Kigezo hiki kinashangaza na ni myopic. Vipi huyo mume akiwa na kilo 70 sasa hivi halafu akamwoa mbususu ikamkubali akafumuka kama kifutu. Ndoa itakufa?

Au yeye mwenyewe mleta mada akidunguliwa mimba ikamkubali akanenepeana na kakitambi ng'ang'anizi juu hata baada ya kujifungua atafanyeje?

Vigezo jongezi kama hivi vya uzito huwa vinawekwa na mabinti under 25 ambao bado hawajayajua maisha sawasawa. Kwa mtu aliye na 29 thete hii hapa inamkodolea macho inaonyesha kuwa kuna shida mahala. It is a red flag, albeit a small one! 😁😁🚶🏿‍♂️
 
Hata Access sikuwahi pewa masharti mengi hivi,hata hivyo hamna shida

Mume nipo na ndio ushanipata yani labda uamue mwenyewe kunilia tinted.

Japo nina sifa zangu pia kama una baadhi ya hizi hints basi unanifaa twenzetu mbele kwa mbele kama ccm

*uwe na kipato
*usiwe mtumia alcohol
*usiwe mfupi
*uwe na rangi yako (kama n mweupe uwe mweupe,kama black uwe black,usiwe chai ya rangi)
*uishi kwako (kama uko kwenu sikutaki)
*ujue ki inglish (strictly eneo hili)
*usiwe mshamba (mziki ukipgwa ujue hata kujitngisha kdg)
*usiwe mdini mlokole mlokole.

Sifa zako zote ninazo,kama unazo hizi zangu njoo PM. hiii ni maukweli ukwelii ujue sikutaniii.
 
Hivi inakuwaje mtu anaitwa financially stable.? Ukihitaji kuolewa na Hawa watu basi tembelea kwenye vijiwe vyao au wanapopaki magari Yao na wewe ukapaki la kwako hapo mara Kwa mara. Ila hapa JF, kubali kukutana na kiumbe yeyote wa mwenyezi Mungu mpambana pamoja.
 
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.

Karibu PM.
Jiulize kama kweli unahitaji mwanamme wa kuishi naye ama unataka ndoa?
 
Back
Top Bottom