Husband is needed

Husband is needed

Mpendwa wangu, mimi sifa zote ninazo ila moja tu ndio sina. Mimi ni bonge ila ni bonge mwepesi, na nimekuwa mnono baada ya kupata vijipesa
 
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 80's. Or 60's.

Karibu PM.
45 yrs napiga show vyema, mashine inch 8,pombe napiga,calm,phd holder,sina ajira,mzaramo nipo Ubungo kibangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipoo sana.
 
Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm.

Kila la kheri...

Ingawaje kwa namna ulivyoandika uzi, unaonekana kama ni mdada muonheaji sana...
 
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 80's. Or 60's.

Karibu PM.
𝐕𝐢𝐠𝐞𝐳𝐨 𝐧𝐢𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨 𝐢𝐥𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐨 𝐦𝐢𝐤𝐨𝐚𝐧𝐢, 𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐰𝐚 𝐃𝐚𝐫
 
Tengaa sana,
Mrangi wa itololo, but siishi dar
Nipo mbeya kwenye utafutaji rizki.
Elimu kidogo ipo (diploma)
Age 33
Kipato cha kawaida.
If you are interested for more particulars, warmly welcome.
 
Muwe mnaweka na picha zenu ili tu-match matarjio yenu na uhalisia wenu. Unaweza ukakuta una sura ya baba, shapeless, una manyoya, usoni, mikononi na miguuni alafu unatuletea vigezo vingi hivyo, msiwe mnatuchosha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.

Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.

Sifa za mtu nimtafutaye:

A man that can handle a family. Meaning financially stable.

Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.

Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.

Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 80's. Or 60's.

Karibu PM.
Itabidi umcray soil
 
Back
Top Bottom