Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe kimke kimoja kinakutowa jasho ndio unataka kuongeza mzigo wa pili? hatuhitaji kusikia kesi za watu kujinyonga kwa ajili ya madeni na ugumu wa maisha.Baby Angel2012, Unakubali kuwa mke wa pili au nyumba ndogo?
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.
Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only.
MKUNYEYE umekaaje, flat rate au high rated
Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.
Mie nina mtizamo tofauti..Hivi kuzaa kunaharibu thamani ya mtu? what if alibakwa??Asante, hata kama umetumia maneno makali
Baadhi ya wanawake ama wasichana wanashindwa kubeba consequences za mambo waliyofanya ujanani
Hata kama ujanani alikuwa malaika, akishazaa bila ndoa anakuwa almost out of the game
Na akiwa out of the game bado akawa desperate na ndoa inakuwa ya kushangaza zaidi
Kama ndoa kwa mwanamke ni priority sana katika maisha ASIZAE hadi aolewe
Na kama ameshazaa, asihangaike kukimbiza wanamme wamuoe, asubiri ajitokeze aliyetayari kumuoa hivyo hivyo na mtoto.
Hii inawafanya wengi wanaishia kugongwa tu, wanakuwa frustrated zaidi.
Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.
Sisi tunaocomment ndio wanaume wenyewe waowaji na tunachokisema ndio mtazamo wa Wanaume, ni Wanaume wachache sana ambao wanaweza kuowa Mwanamke aliyezaa na hasa kama Baba wa Mtoto yuko hai, tena wengi wao ni wale waliofiwa na wake zao au Mwanaume ambaye ni opportunist anayetegemea kunufaika na kitu kwa kuwa pamoja nawe.Mie nina mtizamo tofauti..Hivi kuzaa kunaharibu thamani ya mtu? what if alibakwa??
sasa nitakushangaza next year kwenye Mkutano Mkuu wa Injili wa Mwakaseghe nitakuwa napiga kinanda mbele pale nikimtaja Yesu kwa kunifungua minyororo! I want to change completely MwaJ !
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.
Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only.
Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.
lazima iwe na zaidi ya milioni 5 na mali zisizohamishika kama za milioni 10mwenye g.pa above 4.0 bank statement inasomaje?
Mie nina mtizamo tofauti..Hivi kuzaa kunaharibu thamani ya mtu? what if alibakwa??
Sisi tunaocomment ndio wanaume wenyewe waowaji na tunachokisema ndio mtazamo wa Wanaume, ni Wanaume wachache sana ambao wanaweza kuowa Mwanamke aliyezaa na hasa kama Baba wa Mtoto yuko hai, tena wengi wao ni wale waliofiwa na wake zao au Mwanaume ambaye ni opportunist anayetegemea kunufaika na kitu kwa kuwa pamoja nawe.