Husband Material Anatafutwa

Husband Material Anatafutwa

Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.

Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.

unataka brand new au uzed ?
 
Kwa mwanamke ambaye umeshazaa, please be realistic
Usijiwekee sana hamu ama nia ya kuolewa na kuwa desperate hadi kuweka matangazo kama hivi

Ni wanamme wachache sana wanaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto
Hiyo ya kuolewa itokee tu, on the way mtu kakupenda na kawa tayari kukuoa na ukiwa na mtoto
Vinginevyo kuwa desperate na ndoa kunakufanya ushindwe kufurahia maisha bure
 
Asante, hata kama umetumia maneno makali

Baadhi ya wanawake ama wasichana wanashindwa kubeba consequences za mambo waliyofanya ujanani
Hata kama ujanani alikuwa malaika, akishazaa bila ndoa anakuwa almost out of the game
Na akiwa out of the game bado akawa desperate na ndoa inakuwa ya kushangaza zaidi

Kama ndoa kwa mwanamke ni priority sana katika maisha ASIZAE hadi aolewe
Na kama ameshazaa, asihangaike kukimbiza wanamme wamuoe, asubiri ajitokeze aliyetayari kumuoa hivyo hivyo na mtoto.

Hii inawafanya wengi wanaishia kugongwa tu, wanakuwa frustrated zaidi.

Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.
 
Mie nina mtizamo tofauti..Hivi kuzaa kunaharibu thamani ya mtu? what if alibakwa??
 
Baba wa huyo mtoto yuko wap? haiwezekan uwe na mtoto alafu useme hujawahi kuolewa...nyie ndo makahaba wa vyuon sisi tulipokuwa busy kutafuta gpa nyie mlikuwa busy kutafuta wanaume....
 
Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.

Unge malizia na P.U.M.B.A.V.U
 
Mie nina mtizamo tofauti..Hivi kuzaa kunaharibu thamani ya mtu? what if alibakwa??
Sisi tunaocomment ndio wanaume wenyewe waowaji na tunachokisema ndio mtazamo wa Wanaume, ni Wanaume wachache sana ambao wanaweza kuowa Mwanamke aliyezaa na hasa kama Baba wa Mtoto yuko hai, tena wengi wao ni wale waliofiwa na wake zao au Mwanaume ambaye ni opportunist anayetegemea kunufaika na kitu kwa kuwa pamoja nawe.
 
sasa nitakushangaza next year kwenye Mkutano Mkuu wa Injili wa Mwakaseghe nitakuwa napiga kinanda mbele pale nikimtaja Yesu kwa kunifungua minyororo! I want to change completely MwaJ !

Kwa kufikiria tu nadhani umeshafunguliwa minyororo yote! Heri yako! Ngoja na mie nimwombe Yesu anifungue minyororo yangu.
 
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.

Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.

Tatizo umri tu...ivi kwa nini mnapenda kupigwa gape kubwa namna hii la umri???
 
Mi nimeoa vp uko tayari? Mbona unasema awe mkristo? Akija al shabab na mabilioni utamkataa?........Subiri wenyewe waje wanaotafuta km wewe....
 
Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.

Ha ha haaaaaa! Watu wanakupa za uso tu kudadadeki!! Mie sina comment aisee duh! Kwi kwi kwwiiii!!
 
Hapo blue, neno kuntu

Hasa kama ameshajijenga kimaisha, bora akubali matokeo
Ataishia kwa akina Marioo tu

Ama achague Zombie moja alilokuwa nalo, aliupgrade

Sisi tunaocomment ndio wanaume wenyewe waowaji na tunachokisema ndio mtazamo wa Wanaume, ni Wanaume wachache sana ambao wanaweza kuowa Mwanamke aliyezaa na hasa kama Baba wa Mtoto yuko hai, tena wengi wao ni wale waliofiwa na wake zao au Mwanaume ambaye ni opportunist anayetegemea kunufaika na kitu kwa kuwa pamoja nawe.
 
Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!

Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.

Asanteni sana,Tuko pamoja.
 
Eeeeh chezeya wadada wa mujini weye. Wenye degree siku hizi wanajipanga pale corner bar au jolly club. Kajipange pale maana tukishapiga jack daniel huwa tunawapitia maeneo hayo mida ya usiku.
Kwenye mitandao utawapata wanaokula······0717······.tu
 
Back
Top Bottom