Husband Material Anatafutwa

Husband Material Anatafutwa

[h=2]Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
[/h]Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.

Baby Angel.? Siyo rahisi kumpata mwanaume mwenye hizo sifa akiwa single, hauko peke yako kwani na wenzako wanatafuta waime wenye hizohizo sifa! Tena wanamwambia mwanaume uso kwa uso na OFA kede kede, wewe unatafutia mtandaoni? Hahaaaaa... Umeliwa, labda umvumilie tu huyo aliyekuzalisha awali!
 
[h=2]Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
[/h]Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.

Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only
.

kabila yako vigezo ninavyo
 
Back
Top Bottom