Hushpuppi adaiwa kutakatisha zaidi ya USD 400,000 akiwa bado Gerezani

Hushpuppi adaiwa kutakatisha zaidi ya USD 400,000 akiwa bado Gerezani

Nikiwa sijuwi wenzio wako wapi nafanya kosa moja unatoroka, unajiona mjanja kumbe ndio unakamatisha wenzako hivyo. Mwenye kuelewa na aelewe.
 
Anawanyoosha, inaelekea huko jela Hush Puppy ni super star
 
Nikiwa sijuwi wenzio wako wapi nafanya kosa moja unatoroka, unajiona mjanja kumbe ndio unakamatisha wenzako hivyo. Mwenye kuelewa na aelewe.


Sio fala yule, washkaji zake wako poa. Sasa hivi anawatembezea mpira mapolisi wa Nigeria waliokuwa wanamzingua before. Yule jamaa ni kibaka aisee
 
Mtu anapigaje deal akiwa selo?[emoji23] Au ndio yale ya Chenge na genge lake wakifungwa hufungiwa VIP?
Mbona hata Bongo wafungwa wenye mtandao mzuri huwa wanaendelea na ma deal yao Kama kawa,na pesa inaingia kwa account zao moja kwa moja! Na ole wako eti umdhulumu kisa uko nje,mbona ugeni wake utakufikia tu!!
 
Huyu ishakuwa hobby maana anapiga deal ya ela ambayo hatoitumia yuko selo [emoji1787][emoji1787] inaitwa things you do for love.
Wa West Wana mtandao mpana sana all over the world! Nakumbuka kipindi cha 419 mteja unachagua Nchi gani unayotaka kufanya biashara yako,na bado utaeelekezwa watu wa kuwaona na biashara itafanyika fresh tu!!
 
Wamarekani wamechukia haswa wakijua mtu mweusi kawazidi akili kuna kipind walitaka kuban visa kwa wanaijeria

Mimi daima siwasapoti wamarekani, especially kwa ukatiri na mauwaji dhidi ya nchi za kiislamu. Lakini suala la huyu mwizi kukwapua pesa silisapoti. Nashangaa wabongo wengine wakisapoti kisa tu black. Ni upumbafu haswaa
 
Mi nimemkubali safi sana...acha wazungu waone si yanasemaga sisi ni brainless halafu ni manyani tunapenda kutomb..ana tu[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee binti huoni noma hapo kutamka neno kutomb............ahahaa
 
Back
Top Bottom