Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Hii habari ni chai ya tangawizi,sio kweli na haipo katika vyanzo vya taasisi za kiusalama zinazotambulika nchini marekani....hii news ipuuzeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😬😬😬😂😂😂😂😂😂Mi nimemkubali safi sana...acha wazungu waone si yanasemaga sisi ni brainless halafu ni manyani tunapenda kutomb..ana tu[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa wakati wa kuingia si utatembea kama RingoBongo simu unaingizwa kwenye kitolea maji taka
Kasema ukweli, usipende uongo kama JiweAisee binti huoni noma hapo kutamka neno kutomb............ahahaa
Thubutuuuu....Wamarekani wamechukia haswa wakijua mtu mweusi kawazidi akili kuna kipind walitaka kuban visa kwa wanaijeria
Kuna wataalamu wa kuvusha simu na pakiti za fegi anasundika simu tatu paketi za sigara tatu, akifunua kitabu huoni kituSasa wakati wa kuingia si utatembea kama Ringo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kuna wataalamu wa kuvusha simu na pakiti za fegi anasundika simu tatu paketi za sigara tatu, akifunua kitabu huoni kitu
Nimeona insta imepostiwa,,,nikakutana na comments za wabongo wakimwaga sifa. Kweli pepo wataenda wachache sana. Yani unampa sifa mwizi!!!!
Free Wi-Fi, ni moja ya haki za binadamu(kwa sasa).Magereza yao yana hadi Internet
Ukiwa mwizi wa njia za mitandaoni au muuza 'unga' mahiri kuwa 'mazabe' hakukuzuii kuendelea na 'biashara' zako.Mtu anapigaje deal akiwa selo?[emoji23] Au ndio yale ya Chenge na genge lake wakifungwa hufungiwa VIP?
Kama mnapenda wasiseme[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848]!Mi nimemkubali safi sana...acha wazungu waone si yanasemaga sisi ni brainless halafu ni manyani tunapenda kutomb..ana tu[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
kwa wabongo mwizi huonekanwa ni mjanja