vipi kuhusu mali sasa ie assets na fedha?vipi wamemfilisi au akitoka jela anakuja kuzienjoy?View attachment 2406726
Hatimaye hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa jana Alhamisi, Novemba 3, 2022 na Jaji Otis Wright wa Mahakama ya Wilaya huko California ambapo Hushpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani.
Hata hivyo kwa kuwa tayari Hushpuppiameshakaa jela nchini Marekani kwa takribani miaka 2 tangu mwezi Juni mwaka 2020 baada ya kukamatwa huko Dubai na kisha kuhamishiwa Marekani, anatajwa kutumikia kifungo chake kwa miaka 9.
Sanjali na hilo, kurasa zake za mitandao ya Kijamii ikiwemo wa Instagram uliokuwa na followers zaidi ya Milioni 2.8 imefungwa.
SNS
Link iko wapi mkuu?Tulisimuliwa Maisha yake ya wizi na utajiri alionao toka kwa Habib Hanga.Hutamani story ifike mwisho.Na Habib alikuwa akiandika habari zake kabla hata hajakamatwa.Was nice story
Wapi hiyo story ipo?Tulisimuliwa Maisha yake ya wizi na utajiri alionao toka kwa Habib Hanga.Hutamani story ifike mwisho.Na Habib alikuwa akiandika habari zake kabla hata hajakamatwa.Was nice story
Boss kwa US kukutia umaskini ndio kitu cha kwanza kabla hata hawajakufikisha mahakamani, mali zake na account zake zilitaifishwa na kufungwa kabla hata kesi haijaanza, mnyamwezi anapiga pale panapo kata miguu na kuuma the most kwanza, wanajua wakishakufilisi hata nguvu ya kupigana na kesi huna tena na uta make deal nao na kusema ukweli wako wotevipi kuhusu mali sasa ie assets na fedha?vipi wamemfilisi au akitoka jela anakuja kuzienjoy?
Uchumi gani huyo jamaa ataweza kujadili na wachumi wabobezi? Yeye alikua anapiga matukio ya wizi hapo itakua washamhoji ameongea yote jinsi alivyokua anaiba kimtandao lengo lao kujiongezea ulinzi wasije wakaibiwa tena kwa style hiyo.Sikuona sabb ya kumfunga ila wangemtumia tu kama maswala mengine ya uchumi.
Tuwekee Uzi wa Habibu hapaTulisimuliwa Maisha yake ya wizi na utajiri alionao toka kwa Habib Hanga.Hutamani story ifike mwisho.Na Habib alikuwa akiandika habari zake kabla hata hajakamatwa.Was nice story
dah aisee ni balaaaBoss kwa US kukutia umaskini ndio kitu cha kwanza kabla hata hawajakufikisha mahakamani, mali zake na account zake zilitaifishwa na kufungwa kabla hata kesi haijaanza, mnyamwezi anapiga pale panapo kata miguu na kuuma the most kwanza, wanajua wakishakufilisi hata nguvu ya kupigana na kesi huna tena na uta make deal nao na kusema ukweli wako wote
😎Ni bora kufungwa marekani.
.. . . . . . . . . . malizia
vipi zile pesa ambazo alikuwa anamiliki mwanzoView attachment 2406726
Hatimaye hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa jana Alhamisi, Novemba 3, 2022 na Jaji Otis Wright wa Mahakama ya Wilaya huko California ambapo Hushpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani.
Hata hivyo kwa kuwa tayari Hushpuppiameshakaa jela nchini Marekani kwa takribani miaka 2 tangu mwezi Juni mwaka 2020 baada ya kukamatwa huko Dubai na kisha kuhamishiwa Marekani, anatajwa kutumikia kifungo chake kwa miaka 9.
Sanjali na hilo, kurasa zake za mitandao ya Kijamii ikiwemo wa Instagram uliokuwa na followers zaidi ya Milioni 2.8 imefungwa.
SNS
Umri wako kama sugu we unawaza kutapeli tuHawa ndio aina ya watu wenye matumizi mazuri ya akili.