Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

Sikuona sabb ya kumfunga ila wangemtumia tu kama maswala mengine ya uchumi.
Ni tapeli na sio kwamba he is a skilled hacker/business man.
Tofauti yake na jamaa wa tuna kwa namba hii ni kwamba anatapeli watu wazito na pesa ndefu.
 
Tulisimuliwa Maisha yake ya wizi na utajiri alionao toka kwa Habib Hanga.Hutamani story ifike mwisho.Na Habib alikuwa akiandika habari zake kabla hata hajakamatwa.Was nice story
Hivi Habib aliendaga wapi jamani?
 
Tulisimuliwa Maisha yake ya wizi na utajiri alionao toka kwa Habib Hanga.Hutamani story ifike mwisho.Na Habib alikuwa akiandika habari zake kabla hata hajakamatwa.Was nice story
Mkuu tupiako basi iyo linki ya the bold
 
Hadi GUCCI walikuwa wanamtumia barua za mialiko na pongezi

Huyu mjinga aliweza kuwatia hasara vilivyo

Ningekuwa na uwezo wa ku bypass firewall ya pale BOT au account ya Mwigulu mbona wangeicheki show
Unaweza bypass firewall yao ila hitaweza jua jinsi wanavyoendesha shughuli zao hadi release kutokea...

Jiwekeze zaidi utoe hela kwenye ATM, huko ndo rahisi kupiga hela ila ukidakwa unapigwa vibaya mno
 
Jamaa bwege tu na yeye yaani unajijua we mwizi halafu una ji expose kwenye social network kenge kweli.
 
Back
Top Bottom