Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Apana mkuu.. kwa pesa hyo anakutunuku tena bila wasi kabisa. Sema kimbembe n ad afike ulipo. Hotel. Nk hapo ndio mpunga unakuwa mref zaidi..

Nasikia Cherokee anaumiza sana kwenye Hoteli na kusmsafirisha hadi ulipo. Kwanza hakubali kugongwa kwenye cheap hotels. N a mara nyingi anakupa destination anayotaka mara anakupelekea Bahama au Dubai inategemea na ukaribu wako.
 
Anazugaje? Kuuza sindano na vitambaa vya kushona[emoji25]

mkuu wahindi hukukorogeni tu mkaona wapo kwenye harakati za biashara kwahiyo chochote mtakachowaona nacho au watakachokifanya hamushangai, ila mmatumbwi mtu unamuona kabisa anazagaa vibarazani mara hafla unamkuta tayari na gari la milioni 100, mitaani anagawa pesa, wapambe kibao hapo achilia askari mpaka muuza karanga atakujua tu kama si baka basi ngada
 
Hivi kupata nafasi ya kumvua chupi mtoto mzuri huddah the boss chick ni kiasi gani?

Yule mtoto nataka nimchukukie mkopo finca. Kwani pesa kitu gani?

Dollar 3,000 au TZS 7,000,000 anavua chupi?

Mtoto kama yule ukimla hata ukifa you die with dignity.
Mkuu, huyu mtoto wamemtumia sana, kutoa hela hiyo kwa huyu mtoto ni dhambi tu za kujitakia, hakuna kipya pale. Hiyo hela ukijipanga Mia Malkova unamvuta bongo unaoa kabisa kwa siku kadhaa ukitoa expenses za hotel, usafiri n.k
 
Screenshot_20200627-183900.jpg

Hao Interpol au Police wa dubai whoever wanapewa sifa za kumkamata huyu jamaa ila nashindwa kuelewa hiki...

Je alikua Anatafutwa physical tangu mda mrefu bila mafanikio sasa wao ndio wamefanikisha? kama ndio mbona alikua anatuma ma picha akiwa sehemu mbali mbali maarufu akifanya manunuzi, matumizi n.k Hii haingii akilini..

Je alikua hafahamiki uhalisia wake? Namaanisha uhusiano wake na jina lake halisi,
Tumeona wamedai alikua anatumia majina fake na a.k.a

Je alikua anafahamika na kuhisiwa ya kua ni yeye anayecheza hio michezo ya michafu ila tuu uthibitisho wa kumkamata ndio ulikosekana? hivyo police kazi waliyoifanya ni kutafuta kitovu cha maovu ambacho ndio itakua njia ya kumkamata na yeye na vithibitisho, hivyo waka trace accounts zake n.k na vikaangukia kwenye hio appartment na hatimaye wakakuta walichokua wana ki trace na waliekua wakimtarajia?
Binafsi hii ndio naona angalau inaingia akilini..
 
Si ushasema ni M-Nigeria?
Labda alikua mganga ndio ikawa shida.

Maisha hayaaaa.....
Wengine mkitengeneza zero to hero mwenzako anatafuta Hero to zero.
 
Back
Top Bottom