Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Hushpuppi kabambikiwa kesi kwa sababu ya ushamba pamoja na Mwafrika kuchukiwa akiwa na maisha ya juu

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Hata kama Hushpuppi alikuwa tajiri kwa utapeli, hizi kesi alizopewa ni nzito sana na sio kirahisi rahisi tu; timu za huko Ulaya ama account za mishahara zinadukuliwa kirahisi.

Ila kwasababu Marekani na Waarabu hawapendi mtu mweusi anapoishi maisha ya juu basi lazima wakuanzishie tu kisanga.

Kingine alichokosea Hushpuppi ni ulimbukeni kama sio ushamba wa kumiliki fedha nyingi, kununua magari ya kifahari, safari nyingi kwa ndege, hotel za nyota tano, n.k Huu ni ushamba dizain flani.

Basi ndivyo hivyo ilivyotokea, Hushpuppi kwa sifa zake za kutumbua mihela akaonekana anakidhi kila sifa kuwa mbuzi wa kutolewa kafara, Watu wakaona hii ndio tiketi sasa ya kuiba pesa za mishahara na za timu za huko Ulaya na mwishowe wamsingizie Hushpuppi maana kakidhi vigezo vyote.

Waafrika tuwe tunajiongeza tafadhali. Huyu mwenzetu Hushpuppi yawezekana alikuwa tapeli lakini kwa shutuma zilizomweka jela ni wazi kabisa katolewa kuwa mbuzi wa kafara.

View attachment 1501600

Ujielewi
 
The dude was a fraud. Dealing with cyber crimes n stuff, alijichanganya kwa kupost lavish lifestyle kwa social networks wajuba wakamtrack wakamdandia. Halafu dada zetu macelee wa Africa ni masnitch Sana. Ka swanswadu Huddah kamepigwa sana bata na mkush pale Dubai Palazzo Versace lakini mwisho wa siku kamemdiss aisee.
He flaunted private jets and luxury cars on Instagram. Feds used his posts to link him to alleged cyber crimes
IMG_20200713_123341.jpeg
IMG_20200713_123323.jpeg
IMG_20200713_123310.jpeg
IMG_20200713_123254.jpeg
IMG_20200713_123241.jpeg
IMG_20200713_123225.jpeg
IMG_20200713_123213.jpeg
 
Sasa huyu kaka kabla hajakamatwa si angenipa mm walau ata million kumi tu jaman.mihela yote na migari yote imetaifishwa........sjui Kama ata aliwasaidia ukoo wake vzuri
 
Hatujui mkuu, maybe aliwasaidia. Ila kama anasa za ulimwengu huu tu, amezifanya
Sasa huyu kaka kabla hajakamatwa si angenipa mm walau ata million kumi tu jaman.mihela yote na migari yote imetaifishwa........sjui Kama ata aliwasaidia ukoo wake vzuri
 
Back
Top Bottom