johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa hiyo kikimtokea bungeni ataishia kusema CCM hoyeee!?... ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM hoyeee kigugumizi kilimuachia...
atasema Joni Wine oyeeeKwa hiyo kikimtokea bungeni ataishia kusema CCM hoyeee!?
"Ongeza sauti kidogo"
CCM haihitaji ujue matatizo ya wananchi inahitaji ujue kushangilia kwa kupiga meza na vigeregere.HAKULOGWA ila hajui hata majukumu ya mbunge, hao ni ma-shankupe yanabebwa na mahawara zao kwenye siasa na kujiingiza huko bila kujua wanataka nini.
Hajui shida za watanzania, poor Husna, wewe achana na siasa, kaa ulee watoto acha kutoa mimba za vijana
Ila CCM ni WACHAWI SANAMjumbe wa baraza kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa.
Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilivhomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM hoyeee kigugumizi kilimuachia.
Husna ni mjumbe kutoka mkoa wa Lindi.
Source Clouds 360
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
"Ongeza sauti kidogo"
"Ongeza sauti kidogo"
"Ongeza sauti kidogo"
UmeadimikaWenye vigugumizi wanakuwaga na hasira [emoji23][emoji23]
Ova