Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mjumbe wa baraza kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa.
Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilivhomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM hoyeee kigugumizi kilimuachia.
Husna ni mjumbe kutoka mkoa wa Lindi.
Source Clouds 360
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Kigugumizi cha husna na huo uchawi umehusianaje na hiyo "2020 hakunaga kama magufuli"?