Mjumbe wa baraza kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa.
Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilivhomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM hoyeee kigugumizi kilimuachia.
Husna ni mjumbe kutoka mkoa wa Lindi.
Source Clouds 360
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Ni ajali gani inayosubiri sehemu zote za kujieleza unajieleza vizuri,unapofika hatua ya kuomba kura ndio inatokea?.
hao ndio "wagonga meza bungeni".Ni ajali gani inayosubiri sehemu zote za kujieleza unajieleza vizuri,unapofika hatua ya kuomba kura ndio inatokea?.
Huyo dada ndio kawe aluminMjumbe wa baraza kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa.
Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilivhomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM hoyeee kigugumizi kilimuachia.
Husna ni mjumbe kutoka mkoa wa Lindi.
Source Clouds 360
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!