King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
KI~Fahali~Ng'ombe?
Range Lover~ Ana mapenzi na Range?
Una hakika utajiri wake wote ni wa fedha halali? Catering services hizo ni dsm tu au anayo chain?
Just thinking aloud maana sioni kama film industry au catering services za nchi hii inayoitwa tz vinaweza kumfanya mtu akawa billionaire kwa kipindi cha miaka mitano mpaka kumi na tano
kumbe tusker baridii ni mwanamke!!Wanawake hua hampendani,jadili hoja hatupo jukwaa la lugha
kumbe tusker baridii ni mwanamke!!
Anauza poda..
I know dotnata kipindi cha wedding of my sister, huyu dada anapata pesa nyingi sana kwenye mapambo na catering za harusi, anacharge bei kubwa sana you can't not less than 4 million kupamba a single events, na kutokana na reputation yake mjini kwamba ndo best kwenye mapambo anapata tenda nyingi sana na anachofanya akatai tenda anachukua tenda kisha ana subcontract kwa mtu anayemuamini mkali kisha kwenye sherehe anakuja kuchungulia dakika 10 kujionesha kama yeye ndo mpambaji then anaenda kwenye harus nyingine fasta,
Unakuta kwa j mos moja kala tenda harusi 50 lakini zote ame subcontract na ana charge not less than 4 million kwa harusi, and unakuta anaowauzia tenda anawapa may be 2 million au less than that, kwa nini asiwe tajiri
Sema kinachompa good reputation anauza tenda kwa wapambaji wakali ambao wanaigeuza diamond jublee iwake wake mpaka basi, na yryr anakuja kuzuga zuga wakat wa sherehe msishtukie mchezo, hapo catering bado hajapata,
Inshort she knows how to make money and she succeed on that, this are woman to inspire other ladies that sio lazima university degree to reach ur dream life
Aise Huyu mama anamafanikio sana na inasemekana ndio tajiri namba moja katika tasnia ya filamu
Utajiri wake:
1.Ana Nyumba Tano za Kifahali dar-es-salaam(Nyingine ni ghorofa mbili,nyingine moja)
2.Ana magari ya kifahali matano(Jaguar,Prado,Range Lover Vogue,Benz na Hummer)
3.Ana kampuni ya Cartering ambayo inafanya kazi sehemu nyingi sana na inamuingizia kipato cha juu
4.Anacheza film na pia anauza film
Nawasilisha.
I know dotnata kipindi cha wedding of my sister, huyu dada anapata pesa nyingi sana kwenye mapambo na catering za harusi, anacharge bei kubwa sana you can't not less than 4 million kupamba a single events, na kutokana na reputation yake mjini kwamba ndo best kwenye mapambo anapata tenda nyingi sana na anachofanya akatai tenda anachukua tenda kisha ana subcontract kwa mtu anayemuamini mkali kisha kwenye sherehe anakuja kuchungulia dakika 10 kujionesha kama yeye ndo mpambaji then anaenda kwenye harus nyingine fasta,
Unakuta kwa j mos moja kala tenda harusi 50 lakini zote ame subcontract na ana charge not less than 4 million kwa harusi, and unakuta anaowauzia tenda anawapa may be 2 million au less than that, kwa nini asiwe tajiri
Sema kinachompa good reputation anauza tenda kwa wapambaji wakali ambao wanaigeuza diamond jublee iwake wake mpaka basi, na yryr anakuja kuzuga zuga wakat wa sherehe msishtukie mchezo, hapo catering bado hajapata,
Inshort she knows how to make money and she succeed on that, this are woman to inspire other ladies that sio lazima university degree to reach ur dream life
vp mbona upo bize kumtetea kuna nini na yeye
Kistaarabu ulipaswa kumshukuru na kuihariri(kuiedit) post mama....Wanawake hua hampendani,jadili hoja hatupo jukwaa la lugha